πππKwahiyo hadi umeshindwa kulala
Amalizie Rwanda na Burundi, aunganishe Afrika mashariki.Dogo kamaliza Kenya, Uganda na Tanzania, Kweli Jamaa anazaa kuijaza Dunia sio nyie mnajaza Tanzania tu.
Next Victim nahisi Rwanda sasa
Hapana huyu ni Sepetunga...