Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

Wee nitue mbona unatumia 'mlisema'. Mimi na nani na tulisema wapi.
Mbona diamond mwenyewe alishawah kusema kua yeye ni bingwa wa kiki. Au hilo hulijui. Bila vimambo mambo vyake kuviexpose na kufanya watu waone unafikiri ataongelewa nini. Hizo kiki ndio zinazomfanya awepo midomoni. Lasivyo angeshasahaulika midomoni mwa watu.
 
sasa kumbe unajua kanuni ya mchezo kwanini ulalamike sasa lama Dimond anapenda kiki?

Muziki unaouza zaidi Duniani ni wa U.S.A na huko ndio waanzilishi wa kiki, Jay Z na ukubwa wote anafanya kiko sembuse Nasibu Abduli wetu Tz..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi!!!dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm not daimond's fan lakini kwa hili nawakatalia wadada waache kujilengesha shenzi zaooo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mondi ndio ajifunze!! kuwa kuna wadada wanataka kuzaa tu nae kwa kuwa ni star..hivyo afunge zipu!!!..mie I believe in Karma,ngoja aone dada yake/zake wakifanyiwa anayowafanyia wenzie labda ndio atajifunza
 
mie I believe in Karma,ngoja aone dada yake/zake wakifanyiwa anayowafanyia wenzie labda ndio atajifunza

Basi tusubiri !!!πŸ™‡πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™‡πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™‡πŸΏβ€β™‚οΈ


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…