Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zao wote hasa mond,ila wasitukananeTuwa support wananzengo wenzetu jaman!!!
Nilimaanisha mfn kama (aka Chris brown)Christopher yupi?
Mambo zabibu kiba😂😂😂
Ushanyosha nguo za alikiba😂😂😂😉😂😉Mabata madogo madogo yanaogeleaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuri la bustaniiiii
Yanapenda kulia kwa kwa kwaaaa kwa kwa kwaaaaaa katika shamba zuri la bustaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimependa ule wimbo wa mabata naufananisha na Baba lake👯chizi kalogwa Tena eti🤩Ushanyosha nguo za alikiba😂
Ushanyosha nguo za alikiba😂😂😂😉😂😉
Hata remy kashinda huko
Mbona kila show anasema with my band lakini ukweli hakuna band sio mara ya kwanza hata huko nyuma anasema maneno hayohayo. Biashara tu kuvuta watu lakini in longtime ni mbaya hasa ukisema uongo na hili litapita tutarudi uzi huu kama utaona band.Sasa kasema anaenda na bendi....akidanganya itakula kwake....
Sasa hivi kakazia sana. Kama ni fiksi itamrudiMbona kila show anasema with my band lakini ukweli hakuna band sio mara ya kwanza hata huko nyuma anasema maneno hayohayo. Biashara tu kuvuta watu lakini in longtime ni mbaya hasa ukisema uongo na hili litapita tutarudi uzi huu kama utaona band.
Huwa nakuona ukiwa jukwaani na live band yako huwa najiuliza kwanini Ali kiba humshirikishi japo ni kweli unamfunika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kipya. Kipindi kile si alikua anazunguka na akina iyobo kwani sio dancers wale
Domo live band haiwezi