Mondi kuvunja rekodi nyingine: Anakuwa Bongo Fleva wa kwanza kwenda tour Europe akiwa na bendi + wanenguaji

Mabata madogo madogo yanaogeleaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuri la bustaniiiii

Yanapenda kulia kwa kwa kwaaaa kwa kwa kwaaaaaa katika shamba zuri la bustaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo zabibu kiba😂😂😂
 
Ushanyosha nguo za alikiba😂😂😂😉😂😉
 
Sasa kasema anaenda na bendi....akidanganya itakula kwake....
Mbona kila show anasema with my band lakini ukweli hakuna band sio mara ya kwanza hata huko nyuma anasema maneno hayohayo. Biashara tu kuvuta watu lakini in longtime ni mbaya hasa ukisema uongo na hili litapita tutarudi uzi huu kama utaona band.
 
Sasa hivi kakazia sana. Kama ni fiksi itamrudi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kipya. Kipindi kile si alikua anazunguka na akina iyobo kwani sio dancers wale

Domo live band haiwezi
Huwa nakuona ukiwa jukwaani na live band yako huwa najiuliza kwanini Ali kiba humshirikishi japo ni kweli unamfunika
 
Back
Top Bottom