Mondi ni mnyonyaji sana ila mfalme Kiba ni muungwana!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
King Kiba atazidi kuwa juu na kuendelea kutawala muziki wa afrika kama the late franco makiadi! Sio yule mnyonyaji wa usafini ambaye kutwa kucha wasanii wanamkimbia kwa unyonyaji uliopitiliza. Aache mara moja dhulma sio nzuri, kwanini asijifunze kupitia kwa mfalme kiba?

Wasanii wengi wa kings wanafurahia maisha na kulipwa ujira mzuri bila unyonyaji. Congrats mfalme kiba!

20220725_224645.jpg
 
KILA MBUZI NA ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE, na huruma ya mchungaji kiddogo
 
Kwenye sanaa hakuna muungwana ila kuna tofauti ya maigizo ya uungwana na aina mbali mbali za unyonyaji,wote wale wale
 
King Kiba atazidi kuwa juu na kuendelea kutawala muziki wa afrika kama the late franco makiadi! Sio yule mnyonyaji wa usafini ambaye kutwa kucha wasanii wanamkimbia kwa unyonyaji uliopitiliza. Aache mara moja dhulma sio nzuri, kwanini asijifunze kupitia kwa mfalme kiba?

Wasanii wengi wa kings wanafurahia maisha na kulipwa ujira mzuri bila unyonyaji. Congrats mfalme kiba!

Achaga udwanzi
 
Back
Top Bottom