Kiba hajui kuwatangaza,wasanii wake so watu wakajitoa,wapo wapo tu kama,hawana uongozi basi kingine hamnaWale wawili waliokimbia kwa kiba ilikuaje? Killy na mwenzie
🤣🤣🤣🤣4-0 usijisahaulishe Hziyech22
King Kiba atazidi kuwa juu na kuendelea kutawala muziki wa afrika kama the late franco makiadi! Sio yule mnyonyaji wa usafini ambaye kutwa kucha wasanii wanamkimbia kwa unyonyaji uliopitiliza. Aache mara moja dhulma sio nzuri, kwanini asijifunze kupitia kwa mfalme kiba?
Wasanii wengi wa kings wanafurahia maisha na kulipwa ujira mzuri bila unyonyaji. Congrats mfalme kiba!
🤣🤣🤣🤣 Dah! Wadau mnafurahisha[emoji16][emoji16]sema nini mkuu
Hata wewe unaweza kuta umesahau nini umeandika
Mzee kwa akili yako unamuona mtoa mada yupo serious?Wakati Mond akiwaokoteza huko na huko na kutumia gharama zake binafsi kuwa brand hakuna hata mmoja aliyekuwa anaongea
😂😂😂😂mkuu we huoni hapo🤣🤣🤣🤣 Dah! Wadau mnafurahisha
Now mambo pow watu wanampangia,utadhani wali share nae hata miaWakati Mond akiwaokoteza huko na huko na kutumia gharama zake binafsi kuwa brand hakuna hata mmoja aliyekuwa anaongea