Mondi ni mnyonyaji sana ila mfalme Kiba ni muungwana!

Wakati mondi anaanzisha WCB Hamkuwepo
Wakati anawasaini Hawa harmo,rayvany etc kutoka zero Hamkuwepo
Wakati wanasaini na mkataba ulivyokubalika Hamkuwepo
Mliwaona tu wangekuwa maarufu na mnaanza kuropoka ooh WCB wanyonyaji .
Tukisema nyinyi ni malaya na mna nyege tutakuwa tumekosea?
Kama mkataba wa baba yako na mama yako haujaukosea kwa kusema babako au mamako Nani ananyonywa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Labda utufafanulie alikunyonya sehemu gani ya mwiili
 
Kufuatia kuondoka kwa Rayvanny ambaye alilazimika kulipa TZS Bilioni 1 ili kununua sehemu iliyobaki ya mkataba wake wa miaka 10, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu lebo ya WCB inavyowachukulia wasanii wake.

Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, mmiliki wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema haoni tatizo kuhusu mkataba huo ambao wengi wanadai kuwa ni mkataba wa ‘kinyonyaji’ ambao unaifanya WCB kuchukua asilimia 60 ya mapato yote yanayotokana na kila msanii aliyesajiliwa chini ya lebo hiyo.

“Tuweke kitu kimoja sawa, muziki ni biashara. Wanaolalamika tunawanyonya wasanii wanaonekana kusahau wasanii hawa walikuwa kwenye lebo nyingine tofauti lakini hawakuwa maarufu. Tuliwachukua, na tukawatengeneza hadi wakafikia hatua ya kuuzika na kuzalisha pesa nzuri tofauti na ilivyokuwa hapo awali. WCB tuliwafanya kuwa matajiri na maarufu na unawasikia wanathibitisha"

“Hakuna wasanii matajiri Tanzania baada yangu, zaidi ya wale wa WCB. Nilifanya haya kwa kuwekeza mamilioni ya pesa zangu kwao, lakini sasa msanii anapoanzishwa, anataka kukimbia na biashara nzima. Siwezi kuruhusu hilo, ilibidi nirudishiwe pesa zangu na faida pia" — Diamond Planumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…