Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

foleni????acha hizo mkuu
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Simbaaaaaaaaaa!
 
we jamaa hukuelewa thread, "anaelekea kuwa",, na sio eti ndo keshakua
 
we jamaa hukuelewa thread, "anaelekea kuwa",, na sio eti ndo keshakua
 
Hahahaa mzee michael jackson ni level nyingine kabisa! Hao kina p didy, chris brown wanakesha wakiomba wawe kama michael ila ni ndoto! Michael yule ndo Lucifer kama ulikuwa hujui.
Kitambo hujatuletea story zako za Hollywood kulikoni mzee baba???
 
Jamaa Akili yako itakuwa imeganda. .Hivi una mjua MJ vizuri wewe ??

Yaani kabisaa una m-compare MJ binaadamu ambaye shughuli za mazishi yake ndio shughuli ambayo ina shika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa na watu duniani nzima. ..Tangu technology ya TV na social network ilipoanzishwa. ...

Labda nikusaidie tu kukuelewesha kwamba Michael Jackson ndiye binaadamu maarufu kuliko binaadamu wote wanao ishi na walio wahi kuishi karne ya 21
 
Hahaha yule jamaa alikuwa ndiye rafiki wa shetani aise. .maana sio kwa kuwa na influence kiasi kile. .dah Kuna clip moja niliona akiwa ame visit Mexico Aise. ..Yule jamaa alikuwa ni shetani. ..Acha tu
Hahahaa mzee michael jackson ni level nyingine kabisa! Hao kina p didy, chris brown wanakesha wakiomba wawe kama michael ila ni ndoto! Michael yule ndo Lucifer kama ulikuwa hujui.
 
Hahaha yaani vijana wa huku wana staajabisha sana ...Yaani mtu anayejaza uwanja wenye idadi ya watu 10.0000 na bado nje unakuta Kuna watu 20.0000 wanaofuatilia show kwenye big screen. .wana mfananisha na huyu kijana anayeshindana na kina ally Kiba. .

Diamond hajafikia hata level ya ushawishi aliyo wahi kuwa nayo fally ipupa. ......Hawa vijana inabidi wa jifunze zaidi aise bado hawaijui history ya music vyema
 
Michael Jackson alikuwa ni binaadamu wa kawaida but ni gifted ni sawa na kusema kuwa magufuli na Albert Einstein ni wote ni sawa tu eti kwa kuwa wote ni binaadamu wa kawaida ..Jitahidi kufuta huo ujinga
Kwani Michael Jackson ni Nani au alikuwa nani???. Si alikuwa binadamu wa Kawaida tu!!.
 
Hahaha yule jamaa alikuwa ndiye rafiki wa shetani aise. .maana sio kwa kuwa na influence kiasi kile. .dah Kuna clip moja niliona akiwa ame visit Mexico Aise. ..Yule jamaa alikuwa ni shetani. ..Acha tu
Nilibahatika kumuona karibu kama hatua tano alivyokuja Bongo 90"s..ukimtazama jamaa alikuwa anatisha (sio ubaya)bali jamaa alikuwa na power fulani watu wanazimia..alafu ananukia kama jini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…