Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

Ahsante kwa baraka mkuu..kumfurahisha mtu ni thwawabu haha
Yani nimecheka sana mkuu hongera.. umegonga point tupu sema kuna comedy ndani yake....sasa nashindwa kuekewa tatizo vijana sijui wanatoaga wapi mawazo ya hivi huyu diamond kawaloga sana mashabiki zake...yani diamond ni wa kumlinganisha na MJ kwa kweli ni wazo mfu
 
Aaah tuwasamehe tu kaka mahaba yakipitiliza ni shida ndugu yangu hahahaaaa...alikuwa hajui vzr kuhusu MJ ila leo kamjua kwa coment za wananzengo..nahis akimaliza ataenda kugugo apate na vingine hahahaaaa

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Vibaya mnooo --- mtu mpaka wahindi wana act movies wana muiga kuanzia ku-dance mpaka life style. .Yaani in short world wide huwa Kuna maigizo mbali mbali kumuhusu halafu jamaa ana chukulia poah tu

Uingereza kwenyewe tu''achilia mbali USA ...Pali kuwa na,obelisk zaidi ya 3 ambazo Zina tambulika na serikali kuu zinazo muhusu MJ ...Daah jamaa kakosea sana
Daah yaani amekosea sana aisee
 
Chukua likes za kutosha
 
Na hao wote uliowataja Mara kibao wame wahi kukiri kuwa Walikuwa inspired na MJ ..ndio na wao wakatamani kuimba
Acha kumtusi mfalme wa pop duniani. Hao akina Chris brown na akina usher wamechemka kumrithi mfalme huyu wa pekee, ndio iwe huyu kabwela?!
 
Ukimaanisha diamond platinum ni zaidi ya MJ si ndiyo?
Sina maana hyo ...lkn haikupaswa kupondea hustle zake kiasi hiki.....hii inaonesha vijana wengi wa kitz tunatamani alipofikia yy ila tumeshindwa so what we can do is just expose our bad hatred upon him.....its useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…