playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Ahsante kwa baraka mkuu..kumfurahisha mtu ni thwawabu hahaDah we jamaa leo umenifurahisha hahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa baraka mkuu..kumfurahisha mtu ni thwawabu hahaDah we jamaa leo umenifurahisha hahahahaha
Asa uliwashwa nn mzee wangu jamani ona sasa watoto wanavyokuchambua babu yao bila huruma...afu nyie wazee wa mjini matatizo mengine mnajitakiaga tu hahahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Hahaha jamaa katoa Boko huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
Yani nimecheka sana mkuu hongera.. umegonga point tupu sema kuna comedy ndani yake....sasa nashindwa kuekewa tatizo vijana sijui wanatoaga wapi mawazo ya hivi huyu diamond kawaloga sana mashabiki zake...yani diamond ni wa kumlinganisha na MJ kwa kweli ni wazo mfuAhsante kwa baraka mkuu..kumfurahisha mtu ni thwawabu haha
Hahaha jamaa katoa Boko huku
Msamehe tu maana amekiri alikua anaangalia upepo utavumajeHuyu hata you tube hajamuangalia. .if angemuangalia asinge-muongelea ki -wack kiasi hiki
Aaah tuwasamehe tu kaka mahaba yakipitiliza ni shida ndugu yangu hahahaaaa...alikuwa hajui vzr kuhusu MJ ila leo kamjua kwa coment za wananzengo..nahis akimaliza ataenda kugugo apate na vingine hahahaaaaYani nimecheka sana mkuu hongera.. umegonga point tupu sema kuna comedy ndani yake....sasa nashindwa kuekewa tatizo vijana sijui wanatoaga wapi mawazo ya hivi huyu diamond kawaloga sana mashabiki zake...yani diamond ni wa kumlinganisha na MJ kwa kweli ni wazo mfu
Koment zenu WAKENYA zinaonesha nini ndugu tusaidie tujue..Comments za wabongo nyingi zinaonesha tulivyojawa na roho mbaya,roho za korosho....sjui kwann
Ukimaanisha diamond platinum ni zaidi ya MJ si ndiyo?Comments za wabongo nyingi zinaonesha tulivyojawa na roho mbaya,roho za korosho....sjui kwann
Shooooooooooo 🙆♀️🤡
Daah yaani amekosea sana aisee
Upepo wapi kaka huyu ndo alikuja mzimamzima sema mambo yamekuwa magumu katafuta namna ya kuchochora hawa ndo wazee wa "MMENINUKUU VIBAYA" wakishaona mambo yameenda hovyoMsamehe tu maana amekiri alikua anaangalia upepo utavumaje
Chukua likes za kutoshaC&P
How many awards did Michael Jackson receive?
Jackson's other achievements include 39 Guinness World Records—including one for "Most Successful Entertainer of All Time"—13Grammy Awards as well as the Grammy Legend Award and Grammy Lifetime Achievement Award, 26 American Music Awards, 16 World Music Awards and the estimated sale of up 1 billion units worldwide.
Acha kumtusi mfalme wa pop duniani. Hao akina Chris brown na akina usher wamechemka kumrithi mfalme huyu wa pekee, ndio iwe huyu kabwela?!
Hahahahaaaa yaani ili tusiwe na roho mbaya bas tukubali kumuweka diamond level za MJ...kaka bora tuendelee kuwa na ROHO MBAYA TU kwa hilo hapana hahahaaaa...Ukimaanisha diamond platinum ni zaidi ya MJ si ndiyo?
Sina maana hyo ...lkn haikupaswa kupondea hustle zake kiasi hiki.....hii inaonesha vijana wengi wa kitz tunatamani alipofikia yy ila tumeshindwa so what we can do is just expose our bad hatred upon him.....its uselessUkimaanisha diamond platinum ni zaidi ya MJ si ndiyo?