Chukua likes za kutosha
Sina maana hyo ...lkn haikupaswa kupondea hustle zake kiasi hiki.....hii inaonesha vijana wengi wa kitz tunatamani alipofikia yy ila tumeshindwa so what we can do is just expose our bad hatred upon him.....its useless
Waluokuwa inspired na MJ hadi wakaingia kwenye muziki akina USHER hawajah mfikia MJ we unatuambia huyu alokuwa inspred na Z ANTO sijui MATONYA
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Yule jamaa acha tu, record yake sidhani kama yupo mtu wa kuivunja. Ndie mtu mweusi wa kwanza kuwa na asilimia 98% ya mashabiki wa ngozi nyeupe.....Na hao wote uliowataja Mara kibao wame wahi kukiri kuwa Walikuwa inspired na MJ ..ndio na wao wakatamani kuimba
Yule jamaa acha tu, record yake sidhani kama yupo mtu wa kuivunja. Ndie mtu mweusi wa kwanza kuwa na asilimia 98% ya mashabiki wa ngozi nyeupe.....
Hakuna mtu mweusi wala mweupe aliyewahi vunja hiyo record. Na kuhusu mauzo ya nyimbo na maonyesho yake ni nani alishawahi vunja hiyo record..... HAKUNA....
Hii ni DHAMBI YA MUZIKI.Hahaha. . Mtu anaimba sauti kubana Bana Pua mpaka basi. .mbaya zaidi Ku perform live show bado mtihani. .then ana mfananisha na Mj,daah. .wabongo kweli tunalaana
Kabisa hahaaa '''--- na kutokuwa na shukrani na michango mikubwa iliyofanywa na watu mbali mbali walio leta mabadiliko makubwa duniani. ..iwe ya kisayansi kiburudani etcHii ni DHAMBI YA MUZIKI.
usiendelee maana utaanza kuandika makorokocho.
unamjua chrissbrown. .? Toka unamfaham kesha I chukua tuzom gani unayoijua vau hata kwenye category kuingizwaNyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
duuuh awafikie kwanza akina justin woote aje Kwa usher kwa jasson kwa chrissbrown duuh list n kubwa awe yy tu Mj tumuacheHuwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza
Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???
Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P
Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.
Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.
Sasa kosa lake lilikua nini kama kulikua na harufu mbaya?? wewe ukipita 'dampo' huzibi pua??Harufu mbaya ya bara la Afrika hususani Tanzania. Muda mwingi tulimuona akiwa anatembea huku amebana pua.
[emoji23][emoji23][emoji23]MJ-what the f@ck is he talking about
ME-sir im sorry for him.
Huwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza
Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???
Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P
Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song
@hearly: utaniua, sio kwa makombora hayo unayorusha. Nimekwambia nilikuwa nadraw tension za watu nione. Sirudii tena baba.Hahaha. . Mtu anaimba sauti kubana Bana Pua mpaka basi. .mbaya zaidi Ku perform live show bado mtihani. .then ana mfananisha na Mj,daah. .wabongo kweli tunalaana
Bongo flava zinatesa zaidi Uswahilini, na Afrika ya Mashariki...Baaas!!!Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
Hahaha...eti wanacheza mugambo wanaruka na kukanyagana..???Hivi wanacheza kama Michael Jackson au wanacheza [emoji445]Mugambo wanaruka na kukanyagana[emoji445]
Labda useme amefika level za kina Juma Nature..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alisema Africa inanuka, atapata tabu kuperform kwenye Atmosphere ya AfricaSababu ya kuhisi kinyaa ilikua nini??