Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

Mtu ana tuzo 39 za Guinness book rec. .Halafu ana jitokeza mtu eti anamchukulia poa. ..... wakati mtu huyo anayembeza ndani ya usiku 1 amewahi kushinda tuzo za Grammy 8 kwa wakati 1....
Chukua likes za kutosha
 
Uongo --- Mimi sio shabiki wa diamond but nafurahia mafanikio yake kwa kiasi kikubwa kwa sababu ana influence vijana wengi wa tz --kutambua umuhimu wa kujitegemea na kujikomboa kutoka katika umaskini. .expecially kwa kupitia vipaji vyao. ..Lakini suala la kumfananisha Diamond na MJ wakati bado Kuna baadhi ya nchi za Africa mziki wake haufiki niku mkosea heshima MJ tena kwa kiasi kikubwa ..... mkuu MJ ameanza kujulikana akiwa na miaka 6 tu dunia tayari ilikuwa imeshamjua tayari ..... Yule kiumbe acha kabisa
Sina maana hyo ...lkn haikupaswa kupondea hustle zake kiasi hiki.....hii inaonesha vijana wengi wa kitz tunatamani alipofikia yy ila tumeshindwa so what we can do is just expose our bad hatred upon him.....its useless
 
Hahaha. . Mtu anaimba sauti kubana Bana Pua mpaka basi. .mbaya zaidi Ku perform live show bado mtihani. .then ana mfananisha na Mj,daah. .wabongo kweli tunalaana
Waluokuwa inspired na MJ hadi wakaingia kwenye muziki akina USHER hawajah mfikia MJ we unatuambia huyu alokuwa inspred na Z ANTO sijui MATONYA

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Na hao wote uliowataja Mara kibao wame wahi kukiri kuwa Walikuwa inspired na MJ ..ndio na wao wakatamani kuimba
Yule jamaa acha tu, record yake sidhani kama yupo mtu wa kuivunja. Ndie mtu mweusi wa kwanza kuwa na asilimia 98% ya mashabiki wa ngozi nyeupe.....

Hakuna mtu mweusi wala mweupe aliyewahi vunja hiyo record. Na kuhusu mauzo ya nyimbo na maonyesho yake ni nani alishawahi vunja hiyo record..... HAKUNA....
 
Hakuna kabisaaa na hatokaa wa kutokea maybe katika karne nyingine huko
Yule jamaa acha tu, record yake sidhani kama yupo mtu wa kuivunja. Ndie mtu mweusi wa kwanza kuwa na asilimia 98% ya mashabiki wa ngozi nyeupe.....

Hakuna mtu mweusi wala mweupe aliyewahi vunja hiyo record. Na kuhusu mauzo ya nyimbo na maonyesho yake ni nani alishawahi vunja hiyo record..... HAKUNA....
 
Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
unamjua chrissbrown. .? Toka unamfaham kesha I chukua tuzom gani unayoijua vau hata kwenye category kuingizwa
 
Huwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza
Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???
Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P
Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song
duuuh awafikie kwanza akina justin woote aje Kwa usher kwa jasson kwa chrissbrown duuh list n kubwa awe yy tu Mj tumuache
 
Mkuu unavyomfananisha na The Wacko Jacko uwe unasema katika lipi haswa, Otherwise mfananishe na wengine coz hajafikia hata robo ya mafanikio ya MJ
 
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.

Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.

Nianze kwa kukiri jambo. Kwa kawaida huwa sifuatilii hizo kelele ambazo vijana wa sasa mnaziita "muziki". Ila nimeshawishika baada ya kuona heading ya hii post.
Michael Jackson aliuza nakala milioni moja kwa wiki duniani kote. Hivi huyo Diamond wenu kuna wimbo wake hata mmoja uliouzika ndani ya nchi (achilia mbali Afrika Mashariki) angalau nakala elfu 10 kwa mwezi? Narudia; mie si mfuatiliaji wa hizo nyimbo zenu kwa mantiki hiyo siwezi kudai kuwa najua chochote kuhusu hayo mambo. Naomba anaejua aniambie.
 
Harufu mbaya ya bara la Afrika hususani Tanzania. Muda mwingi tulimuona akiwa anatembea huku amebana pua.
Sasa kosa lake lilikua nini kama kulikua na harufu mbaya?? wewe ukipita 'dampo' huzibi pua??

Halafu achana na habari za vijiwe vya kahawa, bado hujachelewa kumjua MJ japokua amefariki.
 
Huwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza

Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???

Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P

Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song

!
!
Michael Jackson Wapo Wengi Mkuu.
 
Hahaha. . Mtu anaimba sauti kubana Bana Pua mpaka basi. .mbaya zaidi Ku perform live show bado mtihani. .then ana mfananisha na Mj,daah. .wabongo kweli tunalaana
@hearly: utaniua, sio kwa makombora hayo unayorusha. Nimekwambia nilikuwa nadraw tension za watu nione. Sirudii tena baba.

Michael Jackson kama jamaa wanavyosema ni level za majini. Itapita miaka na miaka kuja kurokea mtu wa kumfikia achilia mbali wa kumfananisha.
 
Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
Bongo flava zinatesa zaidi Uswahilini, na Afrika ya Mashariki...Baaas!!!

Kwingine ni 0.
 
Hivi wanacheza kama Michael Jackson au wanacheza [emoji445]Mugambo wanaruka na kukanyagana[emoji445]

Labda useme amefika level za kina Juma Nature..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha...eti wanacheza mugambo wanaruka na kukanyagana..???
 
Back
Top Bottom