Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #241
....yarabiTooobaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....yarabiTooobaa
HahahaNiacheeeee husna
Mie akuu, nimekomaahalaf mwisho wa siku tunambembeleza akianza kulia lia
mm mwenyewe sina net zile nitakununulia eenhHahaha
Mie nataka net, zile zenye bomba zake
PoaEb njo pm pls haraka muhimu
[emoji15] unachagua tenaHahaha
Mie nataka net, zile zenye bomba zake
Ndo nataka nikuagize bhanamm mwenyewe sina net zile nitakununulia eenh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Eb anza kunipm najaribu inakataaNdo nataka nikuagize bhana
Nitakutumia hela
[emoji4]Umenirusha roho sana Husna
Mm nipo sema shughuli zinabana tu..
Hua nikija naishia kule Makapuku forum..
That ma home.
Bado NAKUPENDA HUSNA wanje.
[emoji134]Nakupenda pia..
Naomba unikubalie ombi langu sasa..
Yr smile means what?![emoji4]
BaelezeeDuuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui ataghairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
[emoji124] [emoji124]mkuuu ni wewe au majina yamefanana?
Vp mkuu[emoji134]
TayariEb anza kunipm najaribu inakataa
[emoji3]Shougaa
Hongera kwa kupata penzi jipya
Salama dada yangu mie,mimi naishia tu kuumia hapa kwa sababu wanapendwa watu ambao tayari wana watu halafu mie single nazidi tu kusota mtaani,hii ni haki kweli?[emoji30] [emoji30] [emoji30]Kaka wa ubatizo, habari za wewe
[emoji87] [emoji15] [emoji15] pole mkuuSalama dada yangu mie,mimi naishia tu kuumia hapa kwa sababu wanapendwa watu ambao tayari wana watu halafu mie single nazidi tu kusota mtaani,hii ni haki kweli?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Means a[emoji4]Yr smile means what?!