Mondray

Mondray

Huu uzi umenikumbusha kitu fulani.
Kuna msichana mmoja tulikuwa marafiki sana, alionesha dalili zote za kunipenda nami nikasema lazima nijitose.
Siku moja nilimtokea nikamchana live, hee! mara nikachezea cha mbavu....''nina BF na nampenda sana''.

Mimi kusikia vile mood yote ikakata, kwa kuwa tayari nilishampenda ilinichukuwa muda hadi kumsahau.
Zilipita siku nne bila kumsemesha chochote, kilichofuata alinichukia sana. Hadi ikafika sehemu tunapishana bila kusalimiana.
Licha ya chuki, nyuma ya pazia yule msichana alikuwa ananifuatilia, mimi nilijizuia sana nisimfikirie maana tayari alishaniambia ana BF anayempenda.
Siku moja akanitumia sms ''kama huna moyo wa kumpenda mwanamke bora usimtongoze''.....Baada ya mawasiliano na mazungumzo ya kutosha ndipo nilipogundua kumbe naye alikuwa ananipenda ila hakutaka kukubali mapema.
Kosa langu nilishindwa ku-decode body language yake ambayo ilikuwa positive........Yaliyoendelea baada ya pale ni mengi ila siku hizi ukiambiwa utu uzima dawa ujue ni dawa kweli kweli, kosa ninalofanya sasa hivi ni kutokutongoza tu.
situation ya kuambiwa ana mtu wake tena anampenda wakati na ww umekufa kwake isikie tu mkuu! nilimtongoza dada mmoja bana baada ya kushusha kila neno zuri kwake,vunja vunja kabati langu lote la maneno mazuri ila mdada kakomaa na mtizamo wake eti"mimi ni mtu na nampenda" baada ya kuona habadiliki nakumbuka nilimwambia "nakuchukia sana hujui tu" mpaka leo hatusalimiani.
all in all real love pain a lot hasa pale unapompenda mtu mwenye kuamini na kukaririshwa kuwa wanaume tuko sawa.
 
I wish hii ingelitokea kwangu na Miss Natafuta..Tatizo miss anakabiliwa na PM nyingi mnoo mpaka zingine anasahau.
 
situation ya kuambiwa ana mtu wake tena anampenda wakati na ww umekufa kwake isikie tu mkuu! nilimtongoza dada mmoja bana baada ya kushusha kila neno zuri kwake,vunja vunja kabati langu lote la maneno mazuri ila mdada kakomaa na mtizamo wake eti"mimi ni mtu na nampenda" baada ya kuona habadiliki nakumbuka nilimwambia "nakuchukia sana hujui tu" mpaka leo hatusalimiani.
all in all real love pain a lot hasa pale unapompenda mtu mwenye kuamini na kukaririshwa kuwa wanaume tuko sawa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mie huwa naishia kuumia tu na kumchukia mwanamke wa hivo
 
Back
Top Bottom