Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Naona v nae kafika mapema kuhakikisha ulinzi unaimalishwa ila naona kijana kajaa mzima mzima kwa husnaTatizo kampenda mtu ambaye akili zake dakika zinabadilishwa kutokana na upepo unapo vuma,kashaingia kingi
Wewe kajamaa bwana sio kila kitu ni povu ni utani tu..Mwehu tena, unatokwa povu la nini sasa.
Wewe hujui utani aisee kwani shunii hunaona anatumiaa au lee hilo neno.Jiangalie halafu usije nitafutia ban
Abiria chunga mzigo wakoNaona v nae kafika mapema kuhakikisha ulinzi unaimalishwa ila naona kijana kajaa mzima mzima kwa husna
Asante mkuuPoa mkuu karibu kwa Mara nyingine
Nisamehe bro..Abiria chunga mzigo wako
Khaa wee mtoto kumbe ndo zako wanakuchezea hao jichanganye kwangu itakua mwisho wa hizi thiridi zakoUko wapi mkuu ?!
Mara ya mwisho kuteta nawe uliniambia unanipenda kabla sijakujibu ukawa "jiiii.."
Rudi nimekukumbuka sana[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Naomba talaka yangu endelea na husna wakoNisamehe bro..
Anaweza kua Husninho huyu eeh?Ulipokaa kimya akajiuwa kwa aibu ya kununiwa! [emoji23][emoji23]
Njoo kwangu mie Nakupenda pia Husninho![emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheee ulimiss mtongozo[emoji2]
Sio kwa vijana wa sasa muwe makini sana kama upo tayari jibu kibingwa tena apoapoDuuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui ataghairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
Kweli mkuuAbiria chunga mzigo wako
Sawa mkuuAsante mkuu
Ungekua unanipenda usingenisaliti waziwazi kwa husna[emoji17]No nakupenda mpenzi wangu..
Ur my only woman to me..
Pole ya maneno matupu haina faida,ukinikubalia mimi utakuwa umenipa pole nzuri na ya ukweli![emoji87] [emoji15] [emoji15] pole mkuu
HhahahaaNakupenda V money wangu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungekua unanipenda usingenisaliti waziwazi kwa husna[emoji17]
dah!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]