Mondray

Mondray

Uko wapi mkuu ?!
Mara ya mwisho kuteta nawe uliniambia unanipenda kabla sijakujibu ukawa "jiiii.."
Rudi nimekukumbuka sana[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Khaa wee mtoto kumbe ndo zako wanakuchezea hao jichanganye kwangu itakua mwisho wa hizi thiridi zako
 
Duuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui ataghairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
Sio kwa vijana wa sasa muwe makini sana kama upo tayari jibu kibingwa tena apoapo
 
Back
Top Bottom