Money Heist - Season 5 imetoka

Money Heist - Season 5 imetoka

,
Screenshot_20210904-130348.jpg
 
Haijaisha ,itatoka season 5 part two ,ila kama unafualiaga vizuri hii season ni kwamba Tokyo huwa anasimulia matukio yote na hyo baada ya yeye kutoka jela

Ielewe seasons 1 kwanza
Mbona nmefuatilia kuanzia season one sikuona sehemu Tokyo akisimulia kuwa alitoka jela i mean hapo kwenye jela
 
Nimemaliza Season 5 yote, ila Professor naona kaishiwa, pia Tokyo kufa kumeniuma. Ila msisimko umepungua. Sesson 1-3 ndiyo bomba
Hapa ndio tunahitimisha prison break ndio series bora kabisa ya muda wote
 
Hapa ndio tunahitimisha prison break ndio series bora kabisa ya muda wote
Kweli kabisa. Mfano, professor inakuaje hakuweka plan ya kutekwa na huyo mdada polisi, yaani eti anateswa mpaka kuchomwa sindano almost kufa, then team nzima inakosa plan wanaanza kubahatisha, yaani season hii imeharubika
 
Mauzo lazima yashuke
 
Wakuu series yetu pendwa season ya 5 volume one imetoka,

Wenye Netflix wanafaidi, hivi hakuna njia ya kimagumashi ya kuipakua for free
Profesa, Nairobi, Helsinki... daah bonge la movie...
 
Nimemaliza Season 5 yote, ila Professor naona kaishiwa, pia Tokyo kufa kumeniuma. Ila msisimko umepungua. Sesson 1-3 ndiyo bomba
Season 5 mm naona ndo yenye msisimko maana ujui anakufa nani mda gani?? Yaani kila mda pressure juu juu ndo movie inavotakiwa kuwa
 
Season 5 mm naona ndo yenye msisimko maana ujui anakufa nani mda gani?? Yaani kila mda pressure juu juu ndo movie inavotakiwa kuwa
Ni kweli lakini Professor alivyonusurika kufa unaona ni poa? Maana yake issue ya Raquel kuzaa sidhani if it was in plan ya kuokoa maisha ya Sergio (a.k.a Professor). Mi naona ni kama failure fulani kwenye plan.
 
The day I killed Gandia all the odds were against me.
"Those five bullet wounds reminded me of my samurai."

moja ya maneno ya kuumiza kwenye season 5 part 1

ngoja tusubiri December watamaliza vipi
hii TV series ni fire
 
Ni kweli lakini Professor alivyonusurika kufa unaona ni poa? Maana yake issue ya Raquel kuzaa sidhani if it was in plan ya kuokoa maisha ya Sergio (a.k.a Professor). Mi naona ni kama failure fulani kwenye plan.
Unajua hii series Tokyo ndo alikuwa anafanya narration ,
Kuna mda anasema "" tulijua tuko vita lakni atukujua vita inafanana hivi""

Yaani ndani plan A kuna mambo mengi yalijitokeza lakin waliona kam bado itawork out kuja kustka washachelewa
 
Back
Top Bottom