OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #41
English with subtitleLugha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
English with subtitleLugha?
Aisee sauti za kingereza? Ngoja nikaisake kupitia hiyo link maana sitaki kusikia spanish sijui kifaransa na makorokoro mengineEnglish with subtitle
Ila uwe mvumilivuAisee sauti za kingereza? Ngoja nikaisake kupitia hiyo link
Mvumilivu wa nini?Ila uwe mvumilivu
AddsMvumilivu wa nini?
Vitu vya kawaida hivyo umeconfirm lugja ni kizungu sio?Adds
Nimedownload episode zote tano na nishamaliza kuzitizama.Vitu vya kawaida hivyo umeconfirm lugja ni kizungu sio?
Mbona nmefuatilia kuanzia season one sikuona sehemu Tokyo akisimulia kuwa alitoka jela i mean hapo kwenye jelaHaijaisha ,itatoka season 5 part two ,ila kama unafualiaga vizuri hii season ni kwamba Tokyo huwa anasimulia matukio yote na hyo baada ya yeye kutoka jela
Ielewe seasons 1 kwanza
Hapa ndio tunahitimisha prison break ndio series bora kabisa ya muda woteNimemaliza Season 5 yote, ila Professor naona kaishiwa, pia Tokyo kufa kumeniuma. Ila msisimko umepungua. Sesson 1-3 ndiyo bomba
Kweli kabisa. Mfano, professor inakuaje hakuweka plan ya kutekwa na huyo mdada polisi, yaani eti anateswa mpaka kuchomwa sindano almost kufa, then team nzima inakosa plan wanaanza kubahatisha, yaani season hii imeharubikaHapa ndio tunahitimisha prison break ndio series bora kabisa ya muda wote
Mauzo lazima yashukeKweli kabisa. Mfano, professor inakuaje hakuweka plan ya kutekwa na huyo mdada polisi, yaani eti anateswa mpaka kuchomwa sindano almost kufa, then team nzima inakosa plan wanaanza kubahatisha, yaani season hii imeharubika
Profesa, Nairobi, Helsinki... daah bonge la movie...Wakuu series yetu pendwa season ya 5 volume one imetoka,
Wenye Netflix wanafaidi, hivi hakuna njia ya kimagumashi ya kuipakua for free
Season 5 mm naona ndo yenye msisimko maana ujui anakufa nani mda gani?? Yaani kila mda pressure juu juu ndo movie inavotakiwa kuwaNimemaliza Season 5 yote, ila Professor naona kaishiwa, pia Tokyo kufa kumeniuma. Ila msisimko umepungua. Sesson 1-3 ndiyo bomba
Ni kweli lakini Professor alivyonusurika kufa unaona ni poa? Maana yake issue ya Raquel kuzaa sidhani if it was in plan ya kuokoa maisha ya Sergio (a.k.a Professor). Mi naona ni kama failure fulani kwenye plan.Season 5 mm naona ndo yenye msisimko maana ujui anakufa nani mda gani?? Yaani kila mda pressure juu juu ndo movie inavotakiwa kuwa
Unajua hii series Tokyo ndo alikuwa anafanya narration ,Ni kweli lakini Professor alivyonusurika kufa unaona ni poa? Maana yake issue ya Raquel kuzaa sidhani if it was in plan ya kuokoa maisha ya Sergio (a.k.a Professor). Mi naona ni kama failure fulani kwenye plan.