Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.

Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda Kama tunavyotarajia tutawajulisha rasmi.

Mwisho Uhuru na faragha yetu yanabaki kuwa Mambo binafsi kwetu asanteni.

Superbug.
 
Kwi kwi kwi libabu libaharia hatimae limeamua kutulia looo ISHI MUDA MREFU UJIFUNZE.
 
Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.

Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda Kama tunavyotarajia tutawajulisha rasmi.

Mwisho Uhuru na faragha yetu yanabaki kuwa Mambo binafsi kwetu asanteni.

Superbug.
Hahahahahahaha makuuubwa
Alienishtua NI mume wangu anauliza Una shida ya kiakili, kiafya, nguvu za kiume au kibamia??
Acha ujinga me MKE WA mtu Bibi WA wajukuu 9 na vitukuu 5
 
Back
Top Bottom