Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

Anavyopenda kujigijigi utawezana mkuu,inabidi uanze kunywa al-kasus kwa wingi kuepuka asije kukutangaza humu.
 
Kwel kila shetani na mbuyu wake mkuu we komaa usimsikilize mtu huyo ni size yako kabisa hata mm nilianza kuendesha Yale magar makubwa semi-trailer nikiwa na kilo 52 cha muhim huibebi kichwan we ni gia tu
 
Hahahahaha shenzy😂😂😂
 
Mkifikia hatua ya kuwekana ndani mnishtue..sijacheza kwaito siku nyingi😎
 
Mm sijawahi kukuona ila actions zako zinakutambulisha kuwa wewe ni ME japo Kuna mazuzu humu yanaamini kuwa wewe ni KE, na mmoja wao katuma posa tumemuomba atume picha yako akazingua kumbe wala hakujui kabisa.

Endelea kuwapa mihemko wazamiaji [emoji23][emoji23]
Hahahahaha, ananioaje Kwanza?!
Huyo kweli alijua kufurahisha genge Bora mlimchoma
 
Nilishakustukia long time wewe ni ME ila wazaramo wanaamini wewe ni KE kwa sababu story zako huwafanya wadindishe mboo then wanapiga nyeto mafala hao
Weka picha yangu ya Me basi watu waamini
Maana YouTube yupo Ke
 
Back
Top Bottom