Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Aisee
Kweli wanaume walisema
Wapo Kwa mbali wanachungulia watakuja pole pole
Me bado namshukuru Mdau na Research yake naona imezaa matunda
he! kumbe ni part of research, my bad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee
Kweli wanaume walisema
Wapo Kwa mbali wanachungulia watakuja pole pole
Me bado namshukuru Mdau na Research yake naona imezaa matunda
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwaweli tumsuport amelia lia sana. Twende huko sijui kwenye channel yake tumpe support hamna namna. Lasivyo hivi vilio vyake havitaisha Leo wala kesho.
Kwa insta siwezi kukufollow aisee. Labda hiyo web nitakuwa napita kila tar 30 ya mwezi
Mambo sweetie..?😉
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NI sheedah
Iko vizuri sanaMdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!
Money Penny: sishangai, sio Jamii Forums Tu hata kwenye Jamii + Kazini + Kanisani + Shuleni + Vyuoni + nyumba za starehe n.k kwasababu zifuatazo:
1. Asilimia 80 ya marafiki zangu, wengi NI watoto wa kiume, wanaume, wenye uume 🏃🏃🏃
Na tangu NIMEKUWA na MARAFIKI WA kiume maisha yangu yanatoboa mawingu kwenye anga za ajabu Sana,
2. Wanaume hawana umbea, Wivu WA kijinga, mambo ya kiduanzi, mambo ya kijinga, nikikaa na wanaume tunaongea maisha na kutafuta chapaa ( pesa).
3. Asilimia 20 ya marafiki zangu NI wanawake ambao ni dada zangu, ndugu zangu na wale niliosoma nao, ambao naona hao kidooogo hawana mambo ya kipuuzi, wana-akili za kiume ( mindset ya kiume).
4. Ukiwa na MARAFIKI WA Kiume inakuwa rahisi kwao kukusaidia " Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi" ( FIgure of speach)..
Nikisema Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi sijamaanisha napelekwa Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi Kimwili ( Physically) hapana, namaanisha unakuwa trained kwenye mindset (fikra) ya kiume, ambayo inakuwa rahisi kwako kutoboa kimaisha kwenye levo za juu za kiutawala wa kijamii, Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa ujumla.. Upper Crest Life Baby!
4. Wanaume hao hao wanakufundisha jinsi ya kuishi na mwanaume (Mume). Na inakuwa rahisi kwangu kuishi na Mume.
Matatizo Mengi yanayotokea Kwa wanawake sasa hivi NI Kwasababu hawakuwa na mwanaume wa kuwafundisha jinsi ya kuishi na mwanaume, zaidi walifundishwa na wanawake jinsi ya kuishi na wanaume🔥
Kama hauamini angalia asilimia kubwa ya wasichana wenye marafiki wakiume ndio wenye ndoa nzuri, Tamu, zinazodumu kuliko wasichana wenye marafiki ambao ni wasichana wenzao Tu🔥
5. Cha mwisho na cha msingi sio Kila mwanamke anajua ku-massage "EGO" ya mwanaume, NI wachache mno, Kwa rate ya Dunia nzima Kwa sasa labda itakuwa asilimia 30 kwasababu ya mafundisho ya Wana saikolojia Duniani ndio imeongezeka mpaka asilimia 30.
Jinsi ya ku-massage EGO ya Mwanaume labda nikupe 3 za chapchap ingawa zipo nyiiiingi lakini wanawake wengi wanazipuuzia wakiambiwa hawasikii wanaona wanaonewaaa:
1. Acha Kelele😂😂, punguza kulalamika na kumlalamikia mwanaume, fanya KAZI kama Mungu amekupa viungo vyote salama.
2. Msifie hata kama anaboronga kwenye maisha🏃
3. Punguza kuomba hela 😂. Jamani wanawake punguzeni kuomba wanaume hela, tafuteni zenu, akikupa NI Sawa asipokupa iwe Sawa pia
4. Mpende hata kama amechepuka, wewe mpende mpaka mwisho na kurudia niliomwambia kwenye 1-3 hapo mwanaume ushampa baraaafu ya maisha
Kwa maneno haya niliosoma wanawake watanichukia Tu kama unavyosema mdau, kwasababu watu wanaofanana huruka pamoja, kama Mimi sifanani na hao wanawake, nafanana na wanaume unataka niruke na Nani?? 😂😂😂🏃🏃🏃🏃 Unataka nipendwe na Nani?!
Mdau: Asante, nimekuelewa sasa!
Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi😂😂😂 naona mdau amenifungua macho Inbox, maskini! me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!
Ila me nawapenda wale wooote wanaonichukia kama wapo lakini, usikute mdau nae alikuwa anataka kunivuruga Tu, mxiuuu!
Msisahau Ku subscribe, like, comment na KUSHEA Kwa WENGINE
Napatikana Instagram, YouTube ,Twitter na Nina website ambayo naandika HADITHI za Mapenzi, Maisha na Mahusiano
NI Bibi WA Miaka 63, Nina ndoa yenye Miaka 35 ya kikristo kabisa, watukuu 3, wajukuu 9, mama WA watoto 5, 😂😂, mtaani wanajiita Bibi Bomba 😂😂
Nawapenda wote ❤
Naishukuru Jamii Forum kwakunipa nafasi ya Kuongea na watu wao 😂😂
Nawashukuru wanaume wenye Uume wanaonipenda😂😂😂😂🏃🏃🏃
Nawashukuru Mawifi niliokutana NAO huku JF
AiseeKwa sisi tunavyoitumia ni term inatumika kum describe mwanamke mwenye umri 35+ au 40+ ambae ni attractive na anawatoto kadhaa...lakin anamvuto wa kukulwa na yeye yupo kwa ajili ya hilo pia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante bossIko vizuri sana
Unajua nakupenda Hadi mbele sioni sometime! Badala nione kilicho mbele nakuona wewe😉
Asante boss
[/QUOTE
Halafu daah huo mkao wa picha naupenda nikiwa safarini uvinza
Aisee wewe ni MwanaumeYani wanawake bwana Mungu awasaidie
SijuiAisee wewe ni Mwanaume
lazima wewe utakuwa unamatatizo kichwan kwa hiyo kisa kasema wanawake ww ndio umetumwa kuja kuwajibia ni muakilishiwa wanawake mwache nyanya yang ajimwambafai kwa raha zakeUwe unakuja kujichekesha chekesha kwenye minyegesho ya huyu mdau. Maana anatafuta umaarufu kwa nguvu kulazimisha kuonekana eti tunamchukia ndiyo maana hatucomment.
Hapo unapoteza muda ndugulazima wewe utakuwa unamatatizo kichwan kwa hiyo kisa kasema wanawake ww ndio umetumwa kuja kuwajibia ni muakilishiwa wanawake mwache nyanya yang ajimwambafai kwa raha zake
Sent using Jamii Forums mobile app
I know and I thank u ❤️Money Penny wanaume tunakupenda sababu nawe unatupenda, halafu unavimapepe flani hivi vyakuvutia...umenielewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri mkubwa akili kisoda hujitambui umekazana na kuandika "Wanawake bwana" acha dharau.Sijui