Na
Hannah
Napenda KUWASHUKURU Kwa kuniweka hewani leo
Ndani ya nusu saa nimeshapata viewers elfu 3 kwenye website😂😂😂
Napenda kumshukuru MDAU, mwanzo ulipokuja sikukuelewa lakini sasa nimekuelewa mno
Kauzi kadogo watu wamewaaaka na kutoa unga na kunifanya niingize hela kama hivi Leo za bure bure
Am sure hela zitaendelea kuingia unless Mods WA JF wafute huu Uzi, wakiuacha wiki nzima nitapata views elfu laki 1 yaania milion 10 plus💪
MTU anapodhani amekukomoa Kwa kukupiga teke, kumbe amekuongezea mwendo WA safari ndio leo
Asanteni wapendwa leo umeniingizia hela ya maana
Endeleeni Ku comment nizidi kupata hela😂😂😂
Cc:
Smart911 wachaga Sisi tumekuja mjini kutafuta hela bwana sio kuuza uchi🏃🏃🏃🏃
Kama hivi leo nishaingiza hela WordPress bure bure
Na mpaka wajue kuwa walichokifanya sio kunikomoa NI kunisogeza mbele KIMAISHA na wameniingiziaje hela sio leo😂😂😂
KENZY