Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #441
Mama Jusi wanaanza kujirudi, wameshajua njia WALIOKUWA wanaiendea sio Kwa mtoto Yesu NI Kwa farao😂😂😂Nimebaki najiuliza comment yako ile ina ubaya gani kiasi akushambulie😁😁😁
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪