Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Big up sana my "Bibi bomba"
Umenifurahisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha sana.
Yani NI sheedah
Me nachoshukuru NI kwamba nazidi kumimona viewed kwenye website yangu walonitangazia[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wakoment hapa weee watu wote JF wakisoma wanapanda kwenye website ma naingiza hela
Ndio akili ya kiume hio, sio kupiga nuksi JF alafu huna hata 100
Sent using Jamii Forums mobile app