Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

kichaka cha umalaya
Aisee
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 2  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
 
Hivi wewe una kichaa? Mimi siwezi kufika huko na haiwezekani.
Halafu hata sina ubaya wala ugomvi na wewe lakini nashangaa umenijibu hivo
Then what are you doing here?!
Kichaa my ass🥵
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
 
Viewers million 1 watoke wapi?
Waliosoma huu Uzi wako tuu hawafiki elfu 10 sasa hao million 1 wanatoka wapi?
jf members tuu hatufiki million acha kuzingua wewe.

Kubali umetema boko, madem wenzako wamekuchana ukweli ukaamua kubadilisha gia kuzuga ulikuwa unatafuta viewers. Umezingua umezingua acha kuzuga.
Wewe unaona waliosoma ndani ya JF, je wale waliosoma nje ya JF😂😂😂
Akyanani
Naona tuna chick with dick hapa ladies and gentlemen 😂😂😂😂 Embu tumpigie makofi 👏👏
NI sheeedah 😂😂😂😂
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
 
Walioharibika akili wamejaa tele, sishangai.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Na ndio maana na wewe uko hapa
Kwasababu akili huna, ungekuwa Nazo usingekuwepo hapa sio? You SMH😂😂
Let me call u a chick with dick 🥵

Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
 
Umeongea point nyingi kama mwanamke mkomavu unayejua wajibu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen sire 🙏 Thank u 🔥
Wengine wote wakapange foleni manispaa wakahesabiwe😂😂😂🏃🏃🏃
Kweli njia ya kutafuta mtonyo kwenye social media ZIKO nyingi kama utatumia akili na sio K..
 
Poa haina noma.
Usisahau kunawa na maji tiririka na sabuni.
Matumizi ya sanitaiza nafikiri unayajua.
Then what are you doing here?!
Kichaa my ass[emoji3062]
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
 
Poa haina noma.
Usisahau kunawa na maji tiririka na sabuni.
Matumizi ya sanitaiza nafikiri unayajua.
Defeated cheap bastad!😂😂😂😂

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 🏃🏃🏃
 
Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!

Money Penny: sishangai, sio Jamii Forums Tu hata kwenye Jamii + Kazini + Kanisani + Shuleni + Vyuoni + nyumba za starehe n.k kwasababu zifuatazo:

1. Asilimia 80 ya marafiki zangu, wengi NI watoto wa kiume, wanaume, wenye uume [emoji125][emoji125][emoji125]
Na tangu NIMEKUWA na MARAFIKI WA kiume maisha yangu yanatoboa mawingu kwenye anga za ajabu Sana,

2. Wanaume hawana umbea, Wivu WA kijinga, mambo ya kiduanzi, mambo ya kijinga, nikikaa na wanaume tunaongea maisha na kutafuta chapaa ( pesa).

3. Asilimia 20 ya marafiki zangu NI wanawake ambao ni dada zangu, ndugu zangu na wale niliosoma nao, ambao naona hao kidooogo hawana mambo ya kipuuzi, wana-akili za kiume ( mindset ya kiume).

4. Ukiwa na MARAFIKI WA Kiume inakuwa rahisi kwao kukusaidia " Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi" ( FIgure of speach)..

Nikisema Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi sijamaanisha napelekwa Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi Kimwili ( Physically) hapana, namaanisha unakuwa trained kwenye mindset (fikra) ya kiume, ambayo inakuwa rahisi kwako kutoboa kimaisha kwenye levo za juu za kiutawala wa kijamii, Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa ujumla.. Upper Crest Life Baby!

4. Wanaume hao hao wanakufundisha jinsi ya kuishi na mwanaume (Mume). Na inakuwa rahisi kwangu kuishi na Mume.
Matatizo Mengi yanayotokea Kwa wanawake sasa hivi NI Kwasababu hawakuwa na mwanaume wa kuwafundisha jinsi ya kuishi na mwanaume, zaidi walifundishwa na wanawake jinsi ya kuishi na wanaume[emoji91]

Kama hauamini angalia asilimia kubwa ya wasichana wenye marafiki wakiume ndio wenye ndoa nzuri, Tamu, zinazodumu kuliko wasichana wenye marafiki ambao ni wasichana wenzao Tu[emoji91]

5. Cha mwisho na cha msingi sio Kila mwanamke anajua ku-massage "EGO" ya mwanaume, NI wachache mno, Kwa rate ya Dunia nzima Kwa sasa labda itakuwa asilimia 30 kwasababu ya mafundisho ya Wana saikolojia Duniani ndio imeongezeka mpaka asilimia 30.
Jinsi ya ku-massage EGO ya Mwanaume labda nikupe 3 za chapchap ingawa zipo nyiiiingi lakini wanawake wengi wanazipuuzia wakiambiwa hawasikii wanaona wanaonewaaa:
1. Acha Kelele[emoji23][emoji23], punguza kulalamika na kumlalamikia mwanaume, fanya KAZI kama Mungu amekupa viungo vyote salama.
2. Msifie hata kama anaboronga kwenye maisha[emoji125]
3. Punguza kuomba hela [emoji23]. Jamani wanawake punguzeni kuomba wanaume hela, tafuteni zenu, akikupa NI Sawa asipokupa iwe Sawa pia
4. Mpende hata kama amechepuka, wewe mpende mpaka mwisho na kurudia niliomwambia kwenye 1-3 hapo mwanaume ushampa baraaafu ya maisha

Kwa maneno haya niliosoma wanawake watanichukia Tu kama unavyosema mdau, kwasababu watu wanaofanana huruka pamoja, kama Mimi sifanani na hao wanawake, nafanana na wanaume unataka niruke na Nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Unataka nipendwe na Nani?!

Mdau: Asante, nimekuelewa sasa!

Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi [emoji849][emoji849] kweli sikujua lakini mbona Wana comment pia SA Nani ananichukia!?

Me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!

Ila usikute mdau nae alikuwa anataka kunivuruga Tu?! I don't know ngoja tuone huenda kuna kitu alitaka kuniambia

Napatikana Instagram, YouTube ,Twitter na website ambayo naandika HADITHI za Mapenzi, Maisha na Mahusiano
NI Bibi WA Miaka 63, Nina ndoa ya Miaka 35 ya kikristo, watukuu 3, wajukuu 9, mama wa watoto 5, [emoji23][emoji23], mtaani wanajiita Bibi Bomba [emoji23][emoji23]
Nawapenda wote [emoji173]
Naishukuru Jamii Forum kwakunipa nafasi ya Kuongea na watu wao [emoji23][emoji23]
Nawashukuru wanaume wenye Uume wanaonipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Simpendi, kwani vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana na wewe uko hapa
Kwasababu akili huna, ungekuwa Nazo usingekuwepo hapa sio? You SMH[emoji23][emoji23]
Let me call u a chick with dick [emoji3062]

Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini 
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda
Mimi kazi yangu kuelimisha walupotea. So si ajabu kuwepo hapa kukupa ABC za maisha. But

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Hahahaha!!

Mazingira niliyoishi na ninayoishi sijawahi kuona kurushiana maneno wanawake kwa wanawake! Yaani nimecheka sana..

NI sheeedah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1 kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom