Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Akiweka nina zawadi yake😁😁😁
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Hannah , Depal Binti1 poleni, kazi ya kudeal na chizi haijawahi kuwa rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi aliengiza hela na wao waingiza ujinga na embarrasment
Kama walijua me chizi wanahangaika na Mimi WA nini?? It means am not chizi am sane

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Ndio maana umeongelea umbea kumbe upo KKKT
Kwahiyo Lutheran NI wambea na Mlima WA Moto NI Nani sasa?!
Wakatholic je?! 😂😂😂
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Nigga usimpake mwenzio mafuta kwa mgongo wa chupa
Huyo ndo mwanaume mwenye uume msikilize Tu

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Huyo ndo mwanaume mwenye uume msikilize Tu

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa[emoji91][emoji173][emoji123]
Hakuna mwanaume mwenye uke na tunajua
 
Hakuna mwanaume mwenye uke na tunajua
Maskini😂😂😂 umeboa mbayaa
Kimbia Tu nenda kalale hakuna mwanaume anaekutaka, it's late already mama😂😂😂

Wenzio wamegive up wameenda kulala nguvu zimewaisha baada ya kusikia naingiza hela na wanaume wananikubali💪

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!

Money Penny: sishangai, sio Jamii Forums Tu hata kwenye Jamii + Kazini + Kanisani + Shuleni + Vyuoni + nyumba za starehe n.k kwasababu zifuatazo:

1. Asilimia 80 ya marafiki zangu, wengi NI watoto wa kiume, wanaume, wenye uume [emoji125][emoji125][emoji125]
Na tangu NIMEKUWA na MARAFIKI WA kiume maisha yangu yanatoboa mawingu kwenye anga za ajabu Sana,

2. Wanaume hawana umbea, Wivu WA kijinga, mambo ya kiduanzi, mambo ya kijinga, nikikaa na wanaume tunaongea maisha na kutafuta chapaa ( pesa).

3. Asilimia 20 ya marafiki zangu NI wanawake ambao ni dada zangu, ndugu zangu na wale niliosoma nao, ambao naona hao kidooogo hawana mambo ya kipuuzi, wana-akili za kiume ( mindset ya kiume).

4. Ukiwa na MARAFIKI WA Kiume inakuwa rahisi kwao kukusaidia " Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi" ( FIgure of speach)..

Nikisema Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi sijamaanisha napelekwa Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi Kimwili ( Physically) hapana, namaanisha unakuwa trained kwenye mindset (fikra) ya kiume, ambayo inakuwa rahisi kwako kutoboa kimaisha kwenye levo za juu za kiutawala wa kijamii, Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa ujumla.. Upper Crest Life Baby!

4. Wanaume hao hao wanakufundisha jinsi ya kuishi na mwanaume (Mume). Na inakuwa rahisi kwangu kuishi na Mume.
Matatizo Mengi yanayotokea Kwa wanawake sasa hivi NI Kwasababu hawakuwa na mwanaume wa kuwafundisha jinsi ya kuishi na mwanaume, zaidi walifundishwa na wanawake jinsi ya kuishi na wanaume[emoji91]

Kama hauamini angalia asilimia kubwa ya wasichana wenye marafiki wakiume ndio wenye ndoa nzuri, Tamu, zinazodumu kuliko wasichana wenye marafiki ambao ni wasichana wenzao Tu[emoji91]

5. Cha mwisho na cha msingi sio Kila mwanamke anajua ku-massage "EGO" ya mwanaume, NI wachache mno, Kwa rate ya Dunia nzima Kwa sasa labda itakuwa asilimia 30 kwasababu ya mafundisho ya Wana saikolojia Duniani ndio imeongezeka mpaka asilimia 30.
Jinsi ya ku-massage EGO ya Mwanaume labda nikupe 3 za chapchap ingawa zipo nyiiiingi lakini wanawake wengi wanazipuuzia wakiambiwa hawasikii wanaona wanaonewaaa:
1. Acha Kelele[emoji23][emoji23], punguza kulalamika na kumlalamikia mwanaume, fanya KAZI kama Mungu amekupa viungo vyote salama.
2. Msifie hata kama anaboronga kwenye maisha[emoji125]
3. Punguza kuomba hela [emoji23]. Jamani wanawake punguzeni kuomba wanaume hela, tafuteni zenu, akikupa NI Sawa asipokupa iwe Sawa pia
4. Mpende hata kama amechepuka, wewe mpende mpaka mwisho na kurudia niliomwambia kwenye 1-3 hapo mwanaume ushampa baraaafu ya maisha

Kwa maneno haya niliosoma wanawake watanichukia Tu kama unavyosema mdau, kwasababu watu wanaofanana huruka pamoja, kama Mimi sifanani na hao wanawake, nafanana na wanaume unataka niruke na Nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Unataka nipendwe na Nani?!

Mdau: Asante, nimekuelewa sasa!

Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi [emoji849][emoji849] kweli sikujua lakini mbona Wana comment pia SA Nani ananichukia!?

Me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!

Ila usikute mdau nae alikuwa anataka kunivuruga Tu?! I don't know ngoja tuone huenda kuna kitu alitaka kuniambia

Napatikana Instagram, YouTube ,Twitter na website ambayo naandika HADITHI za Mapenzi, Maisha na Mahusiano
NI Bibi WA Miaka 63, Nina ndoa ya Miaka 35 ya kikristo, watukuu 3, wajukuu 9, mama wa watoto 5, [emoji23][emoji23], mtaani wanajiita Bibi Bomba [emoji23][emoji23]
Nawapenda wote [emoji173]
Naishukuru Jamii Forum kwakunipa nafasi ya Kuongea na watu wao [emoji23][emoji23]
Nawashukuru wanaume wenye Uume wanaonipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Aunt aliniambia wanawake mnachukiana wenyewe kwa wenyewe

kush and Wisdom
 
Aunt aliniambia wanawake mnachukiana wenyewe kwa wenyewe

kush and Wisdom
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Maskini[emoji23][emoji23][emoji23] umeboa mbayaa
Kimbia Tu nenda kalale hakuna mwanaume anaekutaka, it's late already mama[emoji23][emoji23][emoji23]

Wenzio wamegive up wameenda kulala nguvu zimewaisha baada ya kusikia naingiza hela na wanaume wananikubali[emoji123]

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa[emoji91][emoji173][emoji123]
Mi ningetaka ningenza na ww mwanzo kabisa wakati uzi wako hauna comment sema ligi za hali ya chini na bibi zangu sipendi
 
Mi ningetaka ningenza na ww mwanzo kabisa wakati uzi wako hauna comment sema ligi za hali ya chini na bibi zangu sipendi
Sasahivi ndio akili imepanda kichwani😂😂😂

Back
Top Bottom