Ooh nisaidie kuuliza
Malaika..!ayo ni majibu ya kilio chako.Ukiwa kama nani
Watu wa kaskazini kama nanii,,,Lakini we mbona unawapenda sana Wahaya na Wasukuma? Mara Nyani Ngabu aka USA baby Leo tena unamtafuta MONEY stuna. Mbona sijawahi kukusikia ukiwaulizia Watu wa Kaskazini? Hahahhaha
Watu wa kaskazini kama nanii,,,
Wasukuma na wahaya watamu weee acha kabisa Nyani Ngabu
Kama asali
Jigoooooo