Money stunna uko wapi?

Money stunna uko wapi?

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Jamani huyu member nimemmiss,kapotelea wapi jamani ,alikua anachangamsha jukwaa ,nna siku simuoni aisee hebu mtafuteni akuje au ndio kabadili id ,,money stunna njoo uone yanayojiri huku
Natumaini hata wengine mmemmiss pia ni member mwenzetu sijui yupo wapi
 
Kuna yule dada alimdhondokea money stunna nae sijui yuko wapi, tungemuuliza anaweza kuwa na jibu
 
Back
Top Bottom