Monica maisha yakuwa sehemu yake alipambana lakini alizidiwa na saikolojia .

Ila sikukaacha salama nilikaomba mzigo na kakakubali shida ilikuja kalisema yeye kapo TANGA1.

1" napata shida sana nikitaka kulock herufi kubwa kwa kutumia hii i phone sijui hata nifanye nini inanitesa sana
Nenda sehemu
20200625_072640.jpg
bonyeza mara mbili utaona maandishi yanakuja makubwa...
 
Ogopa sana hii 'nick name' ya mjomba ama 'uncle' watu kuitana itana kati ya mwanamme na mwanamke, vinginevyo wawe labda ni wajomba wa kweli kiundugu wa damu, hapo kidooogo!

Lakini ujomba wa from no where ukikuta watu wanaitana, kakamaza shingo kufuatilia, mwisho utagundua yalyojificha!

Yaani 'mjomba' linachukuliwa kama neno 'dada' linavyotumika kumuita mwanamke unayemsorolea!
 
Ni kweli ila huyo mjomba ake monica alikuwa mjomba ake wa kweli kweli
 
Ogopa sana hii 'nick name' ya mjomba ama 'uncle' watu kuitana itana kati ya mwanamme na mwanamke, vinginevyo wawe labda ni wajomba wa kweli kiundugu wa damu, hapo kidooogo!

Lakini ujomba wa from no where ukikuta watu wanaitana, kakamaza shingo kufuatilia, mwisho utagundua yalyojificha!

Yaani 'mjomba' linachukuliwa kama neno 'dada' linavyotumika kumuita mwanamke unayemsorolea!
Kwa dunia ya sasa ilivyo usimwamini sana Mtu juu ya mwanao hata kama ni nduguyo
 
Back
Top Bottom