Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Labda wanafata unafuu,ila mafundi wa M n E wapo Tanzania,A cha matusi mkuu Mimi nipo kwenye mambo ya Consultancy na nishafanya kazi na wataalamu wengi tu wanaenda Nairobi kuchukua Darasa.Hi kitu wakenya wako mbali sana kuliko sisi waltz,penye ukweli kubali tu mkuu hata kama wakenya huwapendi.
Poa..ubarikiwe sana.
watu wengine ni wa kuwasamehe tuBACAS sua .morogoro wanatoa ni consultacy ya sua utapat kila kitu.ulinishangaza wewe uliyesema kenya maana tanzania wako fit sana.hapo sua niliwahi kufanya
BACAS sua .morogoro wanatoa ni consultacy ya sua utapat kila kitu.ulinishangaza wewe uliyesema kenya maana tanzania wako fit sana.hapo sua niliwahi kufanya
mkuu natanguliza shukrani kama na mimi naweza kupata hayo madesamimi nna madesa tu ya M&E kama upo tayari nipe email address yako niwe nakurushia kidogokidogo yapo mengi,
Habari ....naweza kupata madesa kwa sasa?mimi nna madesa tu ya M&E kama upo tayari nipe email address yako niwe nakurushia kidogokidogo yapo mengi,
Cheki na ESAMIWakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.
Pia kama kuna anayefahamu scholarship za short course za hii kozi nje ya nchi anifahamishe, njia zake. au jinsi ya kupata updates ya trainings mbalimbali.
Mimi nina degree na masters ya PublicAdmnistration.
Natanguliza shukrani na ubarikiwe utakae nipa mwanga.