Monitoring and evaluation, Kwa yoyote anayefahamu hili

Monitoring and evaluation, Kwa yoyote anayefahamu hili

A cha matusi mkuu Mimi nipo kwenye mambo ya Consultancy na nishafanya kazi na wataalamu wengi tu wanaenda Nairobi kuchukua Darasa.Hi kitu wakenya wako mbali sana kuliko sisi waltz,penye ukweli kubali tu mkuu hata kama wakenya huwapendi.
Labda wanafata unafuu,ila mafundi wa M n E wapo Tanzania,
 
BACAS sua .morogoro wanatoa ni consultacy ya sua utapat kila kitu.ulinishangaza wewe uliyesema kenya maana tanzania wako fit sana.hapo sua niliwahi kufanya
 
BACAS sua .morogoro wanatoa ni consultacy ya sua utapat kila kitu.ulinishangaza wewe uliyesema kenya maana tanzania wako fit sana.hapo sua niliwahi kufanya
watu wengine ni wa kuwasamehe tu
 
BACAS sua .morogoro wanatoa ni consultacy ya sua utapat kila kitu.ulinishangaza wewe uliyesema kenya maana tanzania wako fit sana.hapo sua niliwahi kufanya

Sawa nitafatilia mkuu.
 
Kuna chuo Arusha kinaitwa MSC - TCDC Huwa wanatoa short course ya M&E check information zako kwa mtandao
 
Open University of Tanzania ndio the right solution to your problem
 
Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.

Pia kama kuna anayefahamu scholarship za short course za hii kozi nje ya nchi anifahamishe, njia zake. au jinsi ya kupata updates ya trainings mbalimbali.

Mimi nina degree na masters ya PublicAdmnistration.

Natanguliza shukrani na ubarikiwe utakae nipa mwanga.
Cheki na ESAMI
 
Back
Top Bottom