Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

it seems Magufuli ni mtu mwoga sana. Yaani muuaji akutishie kwa kukuandikia sms. Ni kitu ambacho hakiwezekani. hao sio wauaji walikuwa wanataka kumtisha tu!
 

Mkuu Sabi Pole sana,

Hilo na jambo moja wapo ambalo huyu Magufuli analo..........ni baadhi ya mapungufu yake.........
 
Mkuu Sabi Pole sana,

Hilo na jambo moja wapo ambalo huyu Magufuli analo..........ni baadhi ya mapungufu yake.........

Yah!! ni kweli ila kitu kina uzuri wake na mabaya(mapungufu) yake vilevile,if mazuri yakiwa mengi kuliko mabaya is ok,but if mabaya ni mengi kuliko mazuri,then it is very bad!!!
 
Yah!! ni kweli ila kitu kina uzuri wake na mabaya(mapungufu) yake vilevile,if mazuri yakiwa mengi kuliko mabaya is ok,but if mabaya ni mengi kuliko mazuri,then it is very bad!!!

Ila ni muhimu sana kuangalia aina ya mapungufu ambayo mtu anayo. Pamoja na unyama wa kutisha alionifanyia, binafsi namuonea sana huruma. Pamoja na urafiki wetu wa zaidi ya miaka 15 hawezi kupokea simu yangu. Tuombe MUNGU akiupata huo Urais asije akawafanyia Watanzania wengine mambo ya namna hiyo.
 

Hicho ni kitu cha kawaida, we kukaa ndani tu siku saba unaona tatizo? hayo ndiyo mambo tunayotaka rais afanye, siyo acheke cheke tu na marafiki na wanafiki, na wewe hujaeleza siri yako, nafikiri ungefungwa tu hadi sasa maana yake ulimfanyia kosa ndiyo maana ukakamatwa na kama ulionewa kwa nini usimchukulie hatua za kisheria? nafikiri 7 days wasn't enough for you.

Huyu kijana ni mchapakazi mzuri sana, tatazo CCM NEC hawawezi kumpitisha na hana chance yoyote kuwa rais wa tanzania sasa kumwongelea hapa ni kupoteza muda tu, mtaendelea na JK wenu awamu inayokuja na msitegemee changes zaidi, mbali ya maumlivu mengine ya miaka 5 ijayo hadi mtakapaotia akili. " I call it Kifungo cha miaka 5 na kazi ngumu"

We have a long way to go comrades.....
 
Kwendeni zenu kwani waandishi wa Bongo si wavuta bangi tu? kuna kitu wasichoweza? kama wameshanunuliwa na fisadis watashindwa nini kununua kesi? hii ni dhahiri wanataka kumchafua magufuru washaona JF inamzimikia sasa kilichobaki ni kumuharibia credibility yake! wanataka ku-put his pant on fire!!!! na watashindwa for sure!
 
Waandishi anaowatuhumu ni Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation, John Bwire, Mhariri wa Rai, Muhingo Rweyemamu na mwandishi wa Rai, Neophitius Kyaruzi. Ametoa taarifa polisi Dodoma Julai, mwaka huu na kupewa RB namba DO/IR/3085/2006.

Kama kweli hao ndio waandishi walio tajwa hapo ntashangaaa sana kwanza wote wametokea kanda ya ziwa na kama wanachuki ya namna hiyo sijui au kama kuan mtu anataka kuwapambanisha hao watu wa kanda ya ziwa sijui au kuna mkono wa mtu ????
 

Tuombe MUNGU
 
Mbona hakumhoji wakati spika ambaye tayari anaulinzi lakini aliomba kuimarishwa kwa ulinzi kutokana na taarifa za mitandao na magazeti tu. Usione ya ajabu ya musa tu bali kuna firauni vilevile
 
haya magazeti unayoyataja ni ya nani? Tupe jina la mwenyewe nasi tutajuwa pumba na mchele.
Msisumbuke bure ni ya rost zizi, sasa cha ajabu ni nini? Hivi rost anaweza kupikwa chungu kimoja na mwana wa Tanganyika?
Wanaanza kampeni ya kumchafua naye hachafuki ngo,Record yake inamsemea.
 
pombe nampenda ni mcchapakazi mzuri ila mara ingine anafanya kazi kwa jazba na chuki,matokeo yake analiingizia hasara taifa,kuna maamuzi mengi aliyoyafanya wakati ni waziri wa mawasiliano na uhukuzi yalileta hasara kwa taifa,ikabidi serikali ilipe fidia kubwa baada ya kushindwa mahakamani,
 

Aksante kwa Taarifa ya habari.

u-presidaa hata uweza, zungumzia uwaziri mkuu...

Tukupe wewe u-presidaa
 
watu wengi hawajui upande wa pili wa shilingi wa huyu mheshimiwa.anapenda kuabudiwa sana na usipofanya hivyo unakuwa adui yake mkubwa.kwa asiyeamini aulize wizara yake ya sasa au wizara na taasisi zilizo chini ya wizara ya miundombinu k. tcaa,tanroads watakwambia
 
Aksante kwa Taarifa ya habari.



Tukupe wewe u-presidaa

Jamaa sio mtu mwenye maono.....yeye ni mtu wa fasta fasta tu....hana vision...hana uwezo wa kuchambua mambo!
Kwa maoni yangu, hata viatu vya uwaziri kwake ni vikubwa!
Anaweza kuwa mfuatiliaji sana (ana uwezo mkubwa wa kukariri), ila hamna uwezo wa kuchambua mambo, hana uwezo kujenga sera.......

Urais (hata uwaziri) ni zaidi ya kuwa mfuatiliaji...apaswa kuwa mtu mwenye maono, aone mbali, ajenge sera na ajenga taasisi ya kutekeleza aonayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…