Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuache ushabiki maghufuli sio muadilifu kamwe. aliwahi kulazimisha barabara kuu ipite jimboni kwake kinyume na ramani ya barabara....
Kwani kama ni ya Magufuli ina maana yeye haruhusiwi kuwa na vitega uchumi? Ngurdotto je?
Watu ni majinga kweli.
Unaweza kumtetea kuwa kuuza nyumba si inshu,vipi hoja ya kumuuzia nyumba girl friend na mzazi mwenzie Sundi Malomo (Mama Jeremiah) nyumba pale Ubungo wakati huo akiwa si mfanyakazi wa Serikali bali Mwanafunzie wa UDSM (Mabibo Hostel),Pia kumuuzia mdogo wake Musa kwa sababu hizohizo kwani ushahidi wa swala hili ni dhahiri kuliko wa Lowassa na Richmond?No one is 100% perfect,the most important thing is to calculate the risk involved.
Pia inasemekana hata Sumaye na Lowasa wamenunua hizo nyumba, na Wao muwa apprehend kama kuuza ni ishu.
Pia Sumaye alitoa ufafanuzi, kuuza nyumba za serikali haukuwa uamuzi binafsi, sumaye na Lowasa walikuwepo kwenye maamuzi ya kuuza nyumba.
Usiwe bias unapojadili mambo
wewe ndio useme unalipwa kiasi gani. Ni kweli aliuziwa na fedha alitoa magufuli waziri. Unajua vigezo vya kuuza hizo nyumba wewe au umekurupushwa. Yule dogo hakupaswa kuuziwa ile nyumba hakuwa na vigezo.Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?
Za kuambiwa changanya na za kwako
Unamfahamu?SUNDI MALOMO:hippie::mad2::glasses-nerdy:
Ila hiyo Nyumba Sundi alishairudisha long time,hana nyumba tena pale ubungo.Unaweza kumtetea kuwa kuuza nyumba si inshu,vipi hoja ya kumuuzia nyumba girl friend na mzazi mwenzie Sundi Malomo (Mama Jeremiah) nyumba pale Ubungo wakati huo akiwa si mfanyakazi wa Serikali bali Mwanafunzie wa UDSM (Mabibo Hostel),Pia kumuuzia mdogo wake Musa kwa sababu hizohizo kwani ushahidi wa swala hili ni dhahiri kuliko wa Lowassa na Richmond?
Badala Ya Kuhangaika Kutibu Tatizo SUGU La Kutoa Haja Kubwa Ya Mgombea Urais Wenu ILI Akienda IKULU Ya Kijijini Kwao MONDULI Asiwajazie INZI Wewe Unahangaika Na Rais Ajaye Na Mwenye IKULU Yake Ya Magogoni Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Ulitaka asiajiriwe? Mbona watu wengi wanaajiriwa kabla ya graduation kwa kutumia matokeo ya miaka mitatu ya nyuma?
Wewe Huna HAWARA au MAHAWARA? Hakuna Mwanaume Wa KITANZANIA Tena Aliye RIJALI Na ANAYEJIELEWA Asiye Na MCHEPUKO au MICHEPUKO. Njoo Na Hoja Nyingine KUNTU Ya Kumchafua Rais Wako Ajaye Dr. John Pombe Joseph Magufuli Lakini Siyo Hii Ya HAWARA Ya Magufuli Kwani Yawezekana Hata Wewe Pia Ukawa Ni Mtoto Wa NJE Kwa Hawara Ya Baba Yako.
Achanganye na Akili zake kivipi? Hili la magufuli kujiuzia Nyumba za Serikali kienyeji tena bila utaratibu si siri wala halihitaji mtu kulipawa na Lowasa au akili za kuambiwa na mtu, hii Tuhuma ni ya Ukweli kabsa inawezekana wewe ndiye umelipwa na magufuli ili uje kukanusha Lakini ulipaswa uchanganye Akili za kuambiwa ukanushe na zako.Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?
Za kuambiwa changanya na za kwako
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu. Wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe, polisi wanalala kwenye nyumba za suti. Wao wanagawana keki ya taifa. Huyu ndiye aliyesimamisha mradi wa barabara geita akaupindisha ili upite kijijini kwao. Huyu ndiye aliyeweka taa za barabaranj Chato jirani na baa yake. Mnamtaka ikuli
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
wewe ndio useme unalipwa kiasi gani. Ni kweli aliuziwa na fedha alitoa magufuli waziri. Unajua vigezo vya kuuza hizo nyumba wewe au umekurupushwa. Yule dogo hakupaswa kuuziwa ile nyumba hakuwa na vigezo.
Kwahiyo lowassa nae ni mdogo wake magufuli? Hii pumba hapa kazi tu.
Ilumbu lyako huyo,mpole kweli hana makuu dada wa watu na hiyo nyumba aliirudisha mwaka huo huo baada ya hii habari kutoka.Mwenye picha ya Sudi Malomo aiweke hapa ili tumfahamu huyu second lady wa 2025.
kumbe wewe bado uko na mambo ya umbeya, wenzio tumeishakaa mguu sawa tukisubiri rais wetu john joseph pombe magufuli aapishwe. Haya uliyoyaleta muda huu hapa yamepitwa na wakati na hayawezi ingia tena katika vichwa vyetu.
Hapa kazi tu huyu ndo magufuli i"umbea peleka kwenye viwanda vya kanga ili maneno hayo waandike kwenye kanga
sasa kama una ushahidi,unasubiri nini kuupeleka mahakamani badala ya kupoteza muda humu jf?