Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Kuna watu wamekariri kuwa kila analoongea Nape limetoka mbinguni kwa mungu hivyo wakiambiwa chochote na Nape wamakiamini,mfano sasa huyo Doto doto kuamua kujitoa fahamu kukariri kila anacholishwa kiasi kwamba sasa hatambui kuwa kuna ufisadi wa escrow, mabehewa feki, kivuko feki na uovu mwingi wa ccm.
 
Umdharau nani? Tokea lini mtu mjinga akawa na dharau kisha ikamshika mtu mjanja? Nani aondokee? Wewe si mungu hawezi kupannga matokeo ya 25 October viroba unakunywa mwenyewe uliyeshikwa Akili na Nape na kukariri Goli la mkono.

Umepanic wewe! teh teh teh teh.......vp umetoka kujinyea km mgombea wako nn? tulia tutawanyooooosha tuuuu...... chezea ccm weye!
 
Magufuli wanaendana sana na Dr Slaa tofauti ni ndogo sana.
 
Umepanic wewe! teh teh teh teh.......vp umetoka kujinyea km mgombea wako nn? tulia tutawanyooooosha tuuuu...... chezea ccm weye!

Chezea ccm ipi? Kati ya ukawa na ccm nani mwenye wasiwasi? Mnamnyoosha nani? Tambua kuwa mwenye mchecheto ni ccm maana sasa mnaona hali ni tete upinzani wa sasa si mchezo kama kujiharishia unajiharishia mwenyewe wewe hujitambui umekariri vya Nape hadi umepitiliza
 
Doto Dotto tambua kuwa ww bado hujitambui ukubali ukatae upeo wako bado mdogo sana kwani kitendo cha kujifanya kipofu na kutouna hata Ufisadi wa escrow pekee ni dalili kuwa wewe ni mgumu kubadilika na Aina ya watu kama nyie ni wa kuwalaani sana.
 
mkuu amilyroley hongera kwa kazi nzuri endelea kufukua madhambi ya huyu wanaemuona malaika.
VIVA UKAWA!!!
Yapo mengi sana mpaka kufikia October 25 utakuwa umeyasikia kwa kiasi kikubwa.
 
Last edited by a moderator:
Wapi kilipo kituko cha Bagamoyo to kivukoni? je kilinunuliwa tshs ngapi?je?kwa nini magufuli akanunue kivuko cha 1978 kwa bilioni 8? Wakati kivuko kikubwa zaidi cha kisasa cha 2015 kinachokwennda kasi zanzibar to DSM kwa saa moja tu kimenunuliwa kwa bilioni 5 tu. ina maana Azam wana Akili kuliko magufuli? Naomba Dotto doto unijibu hili swali.
 
Asa usichoelewa nin hapo?
...na picha umewekewa!

Hivi ukiwa CCM kila upumbavu unatakiwa kutetea?

ukiwa ccm upumbavu unaofanywa na ccm ni sawa ndo maana skendo za escrow, epa, mabehewa feki bado inaonekana si ufisadi kwa wanaccm, kwao ni richmond tu
 
ukiwa ccm upumbavu unaofanywa na ccm ni sawa ndo maana skendo za escrow, epa, mabehewa feki bado inaonekana si ufisadi kwa wanaccm, kwao ni richmond tu

Yani yananikera sana asee!
...sijui huwaga yanafikiri kwa kutumia kitu gan sijui.
 
ccm ni kama ukoo wa panya...soon utaskia uyo dogo nae ni billionea
 
Sio tatizo kumuuzia mdogo wake nyumba. Kumaliza chuo tu sio sababu ya kutokuwa na pesa. Mussa Magufuli ni mtanzania kama watanzania wengine. Swali ni je, who was eligible to buy?
 
Ccm hakuna msafi,wasafi wamehamia upinzani.
Tusifanye makosa kuwaingiza majizi tena.
MABADILIKO DAIMA
 
Huo upendeleo wa Mali za Umma kwa ndugu na michepuko haukubaliki popote duniani.
kwa nchi kama tanzania nchi iliyo jamaa wizi kuanzia serikalini, vyama vya siasa na hata makampuni, kusaidia ndugu wala huwezi kusema ni kosa. Magufli ni malaika ukifananisha na wanasiasa wengine wote. Nyie mnafuga jangiri la kimataifa halafu unakuja kusema Magufuli sii msafi.
 
Back
Top Bottom