minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kuna watu wamekariri kuwa kila analoongea Nape limetoka mbinguni kwa mungu hivyo wakiambiwa chochote na Nape wamakiamini,mfano sasa huyo Doto doto kuamua kujitoa fahamu kukariri kila anacholishwa kiasi kwamba sasa hatambui kuwa kuna ufisadi wa escrow, mabehewa feki, kivuko feki na uovu mwingi wa ccm.