Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

Waziri magufuli anatakiwa kuwekwa wizara ya mambo ya ndani na Masha anatakiwa kuachishwa kazi. Huyu Kijana anatutia aibu sana na ni kitu cha kushangaa kwamba ni kizazi kipya. Hakuna mtu anamwamini Masha hivyo ningependekeza Masha kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Magufuli.

Hivi nyie watu wengine vipi?? who is wrong waziri au rais wenu huyu? mbona nyie wana CCM mnaboa hivi? kama MASHA YUKO HIVYO RAIS WAKO JE? THEN KAMA MAGUFULI UNAONA ANAFAA THEN HE IS DESERVING TO BE PRESIDENT? mnahangaika na vimawazir hivi mnakwepa siku zote kuongelea JK!
 
Waziri magufuli anatakiwa kuwekwa wizara ya mambo ya ndani na Masha anatakiwa kuachishwa kazi. Huyu Kijana anatutia aibu sana na ni kitu cha kushangaa kwamba ni kizazi kipya. Hakuna mtu anamwamini Masha hivyo ningependekeza Masha kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Magufuli.

BORA zaidi angewekwa nafasi ya Pinda
 
Waziri magufuli anatakiwa kuwekwa wizara ya mambo ya ndani na Masha anatakiwa kuachishwa kazi. Huyu Kijana anatutia aibu sana na ni kitu cha kushangaa kwamba ni kizazi kipya. Hakuna mtu anamwamini Masha hivyo ningependekeza Masha kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Magufuli.

Hapo hapo mifugo panamfaa kuliko kutokuwepo kabisa kwenye Baraza
 
Wazo lako sio baya,lakini angefaa zaidi kuwa Waziri Mkuu.Pamoja na kuchafuliwa na magazeti kidogo hapo nyuma, personally namuona ni mtu committed na kazi yake sana.Anasimama peke yake katika baraza la mawaziri kama Waziri aliyejitolea kuwasaidia watanzania.Kwa kweli yuko serious.Hakuna aliye msafi kabisa,kila mwanadamu ana mapungufu yake.

Waziri magufuli anatakiwa kuwekwa wizara ya mambo ya ndani na Masha anatakiwa kuachishwa kazi. Huyu Kijana anatutia aibu sana na ni kitu cha kushangaa kwamba ni kizazi kipya. Hakuna mtu anamwamini Masha hivyo ningependekeza Masha kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Magufuli.
 
Last edited:
EDUCATIONSSchool Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel

University of Dar es Salaam
B.Sc Ed. (Hons)
Chem.&Maths
19851988

GRADUATE
Universities of Dar es Salaam, TZ &Salford -U.K.MSc. (Chem)19911994

MASTERS DEGREE

University of Dar es Salaam.
PhD (Chem)2006

NOT COMPLETED

Mkwawa College of EducationDiploma in Education (Sc.) Chem., Maths&Edu.19811982

DIPLOMA

Mkwawa High School
A-Level Education19791981

HIGH SCHOOL

Lake Secondary School - Mwanza

O-Level Education

SECONDARY

Katoke Seminary Biharamulo, Kagera
O-Level Education1

SECONDARY
Chato Primary SchoolPrimary Education

PRIMARY

No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
UN-HABITATCo-chair World Urban Forum (III)2006

Ministry of Lands and Human Settlements
Minister20052/8/2008

Mtwara Development Corridor
Member 2000- 2005

World Road Congress (PIARC)1st Delegate 2000- 2005

Ministry of Works
Minister 2000-2005

Ministry of Livestock and Fisheries Development
Minister 2/13/2008

Ministry of Works
Deputy Minister 1995- 2000

Tanzania Chemical Society
Member 1993 - Todate

Nyanza Co-operative Union (NCU) Ltd.- Mwanza.

Industrial Chemist
1989-1995

Sengerema Secondary School Teacher (Chemistry and Mathematics) 1982 - 1983

POLITICAL EXPERIENCE

Chama Cha Mapinduzi - CCM( Biharamulo East)

Member of Parliament of Tanzania
1995 - Todate

Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member 1977 - Todate

PUBLICATIONS

Background of the Mtwara Development Corridor - Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004,

Lilongwe - Malawi.
15 Dec 2004 Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J.

Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st - 5th December 2003, Dar es Salaam
5 Dec 2003 Magufuli, J. P.,

Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th - 30th April, 2003 Arusha Tanzania.
30 Apr 2003 Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.

Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 -
Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead.

A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11 16 July, 1999,.

kutokana na ufisadi uliopo serikalini kwa sasa na hali mbaya ya kiutendaji Mh. John Pombe Joseph Magufuli anafaa kuwa Rais wa hii nchi 2010 kupitia chama chochote cha siasa, hii ikoje wana JF
 
Nadhani tatizo ni zaidi ya nani anafaa kuwa Rais. Urais ni institution na kwa katiba ya Tanzania,huwezi kuwa Rais bila kuwa mwanachama wa Chama cha Siasa. Chama cha Siasa ndicho kinachotoa Picha ya Rais wa nchi. Swali kubwa la kujiuliza ni CCM inastahili au inafaa za kutupa "Rais anayefaa/atakayetufaa as a Nation?" Naomba kutoa hoja.
 
Mugo"The Great";549299 said:

Ajabu ni kuwa Presidency hapa Tanzania kama taasisi ni kama bendera. Inategemea nai yuko magogoni. Kama mtu aliye ndani ya nyumba ni dhaifu taasisi yote inakuwa dhaifu, kama ana nguvu taasisi yote inakuwa na nguvu. Kwa hiyo regarldess anatoka chama gani, lazima awe mwenye akili na mwenye nguvu.
 
Magufuli is remotely millions far best than JK!

JK baada ya ku-graduate alienda kugawa kadi za TANU!
Mwenzake kapiga kazi, kapublish, anajua anachokifanya! elimu yake inamsaidia,

Hivi JK mchumi kweli?
 
Magufuli for president! I repeat Magufuli for president!! repeat again......., again!!!!.... loud please........!!!!!!!
 
Tatizo letu ni ujinga na kutojua mambo kwa undani.....hata wewe ukitumia vizuri media&publicity..utaonekana unafanya kazi kwelikweli...kalaghabaho!!!!...huyo kama akiwa president mi ninahama kabisa nchi hii..actually hata uwaziri mkuu haumfai.....
 
uchunguz ufanyike tupate majibu but siamini kuwa pombe magufuli kapayuka yatakuwa ya ukweli kwan nan amesahau muanga huyu mara ngapi kafanyiwa majaribio yakuuwawa huku yeyeakisimamia msimamo wakutetea taifa hili tuwe wakweli nan wazir bora kwa muongo huu zaid ya pombe magufuli.
 
viongozi hawa sasa nao wamegeuka waongo wantaka kuharibu tu professional za watu.
yaani wahariri wanaojua maadili ya kazi zao wakamtishie magufuri yeye ni nani hasa
kama kachemka basi kachemka kweli
 
Binafsi nisicho kipenda kwa magufuli ni tabia yake ya ukabila na kulipiza kisasi. Wakati Biharamulo ikiwa bado wilaya moja na jimbo moja, magifuli kila alipokuwa akiomba ubunge alikuwa hapati, baada ya kutenganisha wilaya na kuwa majimbo mawili la Biharamulo mashariki na magharibi akapata ubunge na akahakikisha chato inakuwa wilaya.

Cha kushangaza na kwanini nasema anaukabila, alipokuwa waziri wa ujenzi amehakikisha barabara ya lami inakwenda chato lakini haipiti Biharamulo mjini ambapo kuna kambi ya JWTZ.

Siku TANESCO wana kamilisha mradi wa umeme biharamulo mjini, magufuli alihakikisha umeme usiwashwe mpaka chato ufike na uwashwe siku moja. Kwa mambo haya namuona magufuli kama mkabila na mtu wa kulipiza visasi.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh! Your post lacks merits. Inaonekana wewe Magezi ni mkabila sana na ndo zenu akina Inshomile kwa ujumla.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh! Your post lacks merits. Inaonekana wewe Magezi ni mkabila sana na ndo zenu akina Inshomile kwa ujumla.

Mkuu mazingira,

Pingana na hoja nilizotoa na usikurupuke kwa kuwa tu unaruhusa ya kuandika cho chote.
 
viongozi hawa sasa nao wamegeuka waongo wantaka kuharibu tu professional za watu.
yaani wahariri wanaojua maadili ya kazi zao wakamtishie magufuri yeye ni nani hasa
kama kachemka basi kachemka kweli
LIKIZO VIPI mkuu?
 
LIKIZO VIPI mkuu?

Hehehe unajua alipost lini hii kitu?

FirstLady1
user_offline.gif

FirstLady1 I will be Away -happy new year JF
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 2,369
Thanks: 298
Thanked 342 Times in 259 Posts
Rep Power: 25
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: John Pombe Magufuli katika awamu ya Nne
 
viongozi hawa sasa nao wamegeuka waongo wantaka kuharibu tu professional za watu.
yaani wahariri wanaojua maadili ya kazi zao wakamtishie magufuri yeye ni nani hasa
kama kachemka basi kachemka kweli

Firstlady1, na Wengine

Mmenena. Bahati mbaya sana Watu hawamjui Pombe kwa undani. Ni mtu wa visasi na muonevu. Binafsi wakati akiwa Waziri wa Ujenzi (wakati wa awamu ya tatu) aliniweka ndani pale Central Police kwa siku saba bila dhamana toka tarehe 15/09/2005 mpaka tarehe 22/09/2005 akidai kuwa nimemtishia kumuua. Alituma askari wasiopungua wanne (wakiwa na SMG) kuja kunichukua nyumbani kwangu, wakati huo, pale Kijitonyama Kisiwani.
 
Back
Top Bottom