Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
😩😩😩😶😩Kwahiyo umeamua watu waanze kuspeculate chanzo cha kifo sio? Kwanini usiseme kama ni ugonjwa au ni nini?
Fanyeni mfanyayo, ila ifahamike tu, hatuna hiyo pesa ya kununua chanjo. Isije kuwa kuna mapandikizi yana zunguka hii nchi na vichupa vya sumu na kupulizia watu mashuhuri na wenye influence kidini na kisiasa kisha wanapata shida ya kupumua na kufariki, ili kuweka msukumo wa kukubali chanjo za majaribio za msaada na baadae tununue