TANZIA Monsignori (Padre) Deogratias Mbiku wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Afariki Dunia

TANZIA Monsignori (Padre) Deogratias Mbiku wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Afariki Dunia

Bila shaka kutakuwa Na msemaji wa TEC yupo ndani
 
Screenshot_20210405-130212~2.jpg
 
Naleta hapa Tangazo la Kifo cha Msgr Mbiku kama lilivyotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam.

View attachment 1743437

View attachment 1743518

Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.

Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Monsinyori Deogratias Hukumu Mbiku wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Chuo Kikuu. Monsinyori Mbiku amefariki leo tarehe 04 Aprili 2021 saa 12:45 jioni katika Hospitali ya Kardinali Rugambwa, DSM, alipokuwa akitibiwa. Taarifa zaidi juu ya taratibu za Mazishi zinapangwa na tutawataarifu.

Naomba tumuombee Pumziko la Milele Mbinguni.

ASANTENI.

+ Jude THADDAEUS Ruwa'ichi,
Askofu Mkuu wa DSM
Rest well father Mbiku💔🕊🙏
 
Huyo amekufa kwa tatizo la kupumua.
Hiyo chanjo ya nn? Au unafikiri ni Corona.
Tanzania hakuna ugonjwa wa Corona. Tuna ugonjwa wa kupumua
Kwahiyo tatizo la kupumua wewe huoni uhusiano na chanjo, sasa kuna haja gani ya kuendelea kujadili na wewe, au unafikiri hizi chanjo ni za kukinga mbwa dhidi ya ukichaa?
 
Back
Top Bottom