😩😩😩😶😩Kwahiyo umeamua watu waanze kuspeculate chanzo cha kifo sio? Kwanini usiseme kama ni ugonjwa au ni nini?
Fanyeni mfanyayo, ila ifahamike tu, hatuna hiyo pesa ya kununua chanjo. Isije kuwa kuna mapandikizi yana zunguka hii nchi na vichupa vya sumu na kupulizia watu mashuhuri na wenye influence kidini na kisiasa kisha wanapata shida ya kupumua na kufariki, ili kuweka msukumo wa kukubali chanjo za majaribio za msaada na baadae tununue
Nawatakia Pasaka njema hapo Ufipa bwashee!
Monsinyori Mbiku amefariki leo Kwa changamoto za kupumua.Usinipangie cha kuandika so as long as kipo ndani ya mada na sivunji sheria za jukwaa, uwe na adabu, si kwa baba yako hapa
Niko Bulongwa MaketeNawatakia Pasaka njema hapo Ufipa bwashee!
Nawatakia Pasaka njema hapo Ufipa bwashee!
Kwahiyo nimebisha?, au unataka kusema nini ambacho hukusema bado?Monsinyori Mbiku amefariki leo Kwa changamoto za kupumua.
Tangazo limetolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam na Mimi nimekopi na kupesti.
Kama haya yote yanatokea usalama wa Taifa wanafanya kazi gani au ndio kazi yao ni kupambana na vyama vya upinzani ambavyo vipo kwa mujibu wa katiba na sheria?Isije kuwa kuna mapandikizi yana zunguka hii nchi na vichupa vya sumu na kupulizia watu mashuhuri na wenye influence kidini na kisiasa kisha wanapata shida ya kupumua na kufariki, ili kuweka msukumo wa kukubal
Mambo ya chanjo yako wapi hapo kwenye tangazo la Baba Askofu Ruwaichi?Kwahiyo nimebisha, au unataka kusema nini ambacho hukasema bado?
Indeed!Great Catholic teacher of our times .... [emoji24][emoji24][emoji24]
Kwenye huu ujinga mmebaki wachache sana.Kwahiyo umeamua watu waanze kuspeculate chanzo cha kifo sio? Kwanini usiseme kama ni ugonjwa au ni nini?
Fanyeni mfanyayo, ila ifahamike tu, hatuna hiyo pesa ya kununua chanjo. Isije kuwa kuna mapandikizi yana zunguka hii nchi na vichupa vya sumu na kupulizia watu mashuhuri na wenye influence kidini na kisiasa kisha wanapata shida ya kupumua na kufariki, ili kuweka msukumo wa kukubali chanjo za majaribio za msaada na baadae tununue
Kwahiyo tatizo la kupumua wewe huoni uhusiano na chanjo, sasa kuna haja gani ya kuendelea kujadili na wewe, au unafikiri hizi chanjo ni za kukinga mbwa dhidi ya ukichaa?Mambo ya chanjo yako wapi hapo kwenye tangazo la Baba Askofu Ruwaichi?
Mjinga ni anaeshindwa kudhihirisha ujinga kwa hoja.Kwenye huu ujinga mmebaki wachache sana.