zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sasa expropriation inaruhusiwa na sheria ipi? Kwani ungeenda kufungua shauri kuwa amefanya breach of contract na ukaweka ushahidi mezani mbona mkataba ungefanyiwa resolution mapema tu na kama fidia tungelipwa!!!?Alisema kitu gani wewe, upeleke watu wasio na uwezo wa kutetea kesi rahisi halafu umlaumu Magufuli.
Yaani una kibali cha mining toka 2008 bado unafanya exploration mpaka 2018, maana yake huna hiyo hela ya uwekezaji tu zaidi kukalia ardhi.
Tatizo jamaa lenu alikua anaamini ubabe kuliko matumizi ya akili.