Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Acha kaka unajidhiilisha BIT sio kwa specific contracts ni general kwa wawekezaji wote wa nchi husika. Kwa sehemu kubwa na yenyewe ni stabilisation clause.Kukuuliza haina maana kuwa sijui isipokuwa ni kupata uhakika iwapo wewe unayeyaandika haya mambo unayajua kweli au la...
Nimepata uhakika huo, kwamba, una argue mambo usiyoyajua vyema...
Unaelewa maana ya hayo niliyoya bold..?
"Host Government" inam - host nani...?
"Stabilization clause" ni kitu gani ndugu Mayor Quimby? Mbona unashindwa kutumia ufahamu wako kumwaga ujuzi wako?
Nilikuuliza pia kuwa, how these "stabilization clauses" work and haw they have prevented the nation/country to be sent to ICSID for the breach of these bilateral agreements & contracts...?
Bi - lateral Investment Treaty - simply means ni mkataba wa kimataifa kati ya pande mbili. ..
Mfano, yaweza kuwa kampuni toka nchi/taifa fulani vs serikali ya Tanzania labda kwa shughuli ya uchimbaji wa madini wa kampuni hiyo ndani ya Tanzania...
Mkataba utakaosainiwa na pande hizi mbili utakuwa categorized kama "bilateral treaty" na taasisi zinazolinda uwekezaji wa kimataifa zina sehemu ya kuhusika kwake..
Na infact, wawekezaji wa kimataifa wanakuja nchini kwetu (Tanganyika) kuwekeza kwa sababu wanajua kuwa nchi yetu ni mwanachama wa taasisi za kimataifa za kulinda wawekezaji kama MIGA na ICSIDs...
Na mkiiingia kwenye migogoro ya kimkataba, mtakutana huko ICSID ili kusuluhishwa...
Wewe unasemaje mpaka hapo..?
Sasa hivi mimi mwenyewe naanza kukuhurumia kumbe kilaza hivi.