Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania

Acha kaka unajidhiilisha BIT sio kwa specific contracts ni general kwa wawekezaji wote wa nchi husika. Kwa sehemu kubwa na yenyewe ni stabilisation clause.

Sasa hivi mimi mwenyewe naanza kukuhurumia kumbe kilaza hivi.
 
Hv kesi gani na waekezaji tumewahi kushinda?! Na hatuachi kuwakaribisha wanaoitwa "wawekezaji wa nje" ati waje kuwekeza, kwamba Tz ina maliasili zenye "...fursa tele za kutuletea maendleo ..."Au ni wanaosaini mikataba hawana utaalamu au weledi?! Madeni yamezidi xaxa ...dah!
 
Mimi sio nakwambia hadithi nimeandika hizo academic reports kwa miaka kama sita za vilaza.

Bado kwenye masomo yangu ni mandatory kuelewa aspects za contract, tort na business law.

Sasa usidhani najiongelea tu kama wewe na mwenzako Lissu. Mpaka sasa kwenye hoja żako kwa level yangu ujavuka hata elementary level, ili tuelekee kwenye maswala ya breach and other nitty gritties

Kadri unavyozidi kuandika ndio unavyoonyesha uwezo wako mdogo.

Anyway your wish is granted, kwangu muda wa kulała. 👋
 
Je
Ni kwa sababu wanapeleka watu wasio na uwezo kutetea hizo kesi.

Sakata DPW wanasheria wengi wa Tanzania walishindwa kuelewa ‘IGA’ ni kitu gani, maswala ya mikataba wanasheria wa Tanzania wanapwaya sana.
wewe Mtanzania mwenzetu kwanini huisaidii Nchi yako pendwa iepukane na hili jinamizi la kushindwa shindwa kesi kila mara ???!
Au wenye kuhusika na hizi deals hawataki kushirikisha watu werevu wenye uelewa mpana wa mambo ya mikataba ???!!!

Nimesoma arguments zako nyingi humu jf zinadai kwamba wanaopelekwa kwenda kusimama upande wa Government katika hizo kesi hawajui kabisa masuala ya mikataba ya kimataifa ndio maana kila kesi tunagaragazwa na mapesa mengi yanakwenda !

Je hapa kuna kiini macho gani kinachoendelea ??!
Kwanini watu kama nyinyi msipewe hizo kazi za utetezi au za ushauri ???!
Au na nyinyi ni watu wa kulalamika tu bila kuwa tayari kukomesha hali Hiyo ??!
Hii inaumiza sana eti kila kesi tunashindwa !!
Je hii itakuwa hivi mpaka lini ???!!
 
Hiyo namba 4 ni utakatishaji hela mkubwa sana unafanyika towards election period. Ifuatilie utarudi hapa.
 
Una jiabisha asee.
 
Wanapiga pesa za bure bure tu,
Utapeli mtupu.
 
Alisema kitu gani wewe, upeleke watu wasio na uwezo wa kutetea kesi rahisi halafu umlaumu Magufuli.

Yaani una kibali cha mining toka 2008 bado unafanya exploration mpaka 2018, maana yake huna hiyo hela ya uwekezaji tu zaidi kukalia ardhi.
Kwa nini serikali ya mnawapa wanaoitwa wawekezaji vibali vya aina hii na mikataba ya hovyo hivyo ya hasara kwa taifa?? FaizaFoxy ChoiceVariable chiembe kipara kipya
 
ICSID ndio hao hao MIGA wewe kilaza.
 
Ilitakiwa warudishiwe Leseni zao kisha wapewe muda waanze kazi na hawaruhusiwi uzia mtu, wakishindwa warudishe kwa mmiliki ambaye ni GoT
 
Una jiabisha asee.
Ndio najiaibisha
Ila ni ukweli kwamba kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ila ni miaka zaidi ya ishirini kuna umaskini wa kutisha

Wazungu kwenye mikataba wanataka mfocus kwenye mambo ambayo hayana maana yeyote
Mambo kama kodi hawataki mfocus nayo sababu hayo ndo yana-manufaa
 
Mlifungua shauri kokote? Kwani mliweka limit of exploration au retention licence? Au mnajiamulia tu kuwa miaka 10 ni mingi na unaenda tu kufuta leseni?

Mambo ya kisheria yanahitaji umakini maana technicalities tu zinaweza kukulipisha faini ya mabilioni
 
Yaani magufuli alikua anatumia hisia kuvunja mikataba alafu huyo mjuaji anayejiita bingwa wa mikataba ana-mtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…