Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania

Haya mambo ya.makesi si.ndio.saidi lugumi naye kalipwa kashinda rufani.yake ndio.kaanza.kuvimba.tena.siku.hizi
 
Nchi inaliwa na wageni kwasababu ya kuwa na wajinga na wapumbavu kwenye nafasi za uongozi. Watanzania tuamke. Ebu nchi masikini kama Tanzania inaenda kulipa milion 27 za dollars kwa kampuni kwasabbu tu za kusign mikataba mibovu? Imagine hizo milioni 27 zingetengwa kwaajiri kutowa mikopo kwa vojana 27 watakao kuja na plan idea za kuazisha kiwanda. Maana yake tugeweza kuanzisha viwanda vipya na kuajiri vijana wengi.
 
umekosea, ccm halipi kitu, tozo zako ndio zinalipa, na zitaongezwa
 
umekosea, ccm halipi kitu, tozo zako ndio zinalipa, na zitaongezwa
Hahaha HUWAELEWI CCM wewe, Maendeleo wanaleta wao, PESA za nchi hii nizao, MIKOPO hawapokei wao maana zile ni fedha za ndani, ila madeni WANALIPA Wao. Pesa za Kodi na mapato yote nchini ni mali yao.

Wananchi hamtofuatwa kugongewa milango yenu kulipa deni la taifa, wasiwasi wenu nini?
 
Inauma kutoa hela bure kwa watu pengine wao ndio walikua wamevunja mkataba kwa kuchelewa kuanza mradi hadi ikabidi serikali kuvunja mkataba. Awamu ya tano ilikua na watu makini sana kwenye sheria. Isingewezekana wao kuvunja mkataba kimakosa. Na ndio maana hawa Montero wamesubiri hadi kuona awamu ya jpm imepita ndio wakaleta madai wakijua wana washirika ili kupiga hela ya umma. Wahuni walichangamkia dili sema mama kwa namna gani hatujui akawashitukia. Kwa vyovyote kazi ikawa ni kushusha kiwango ambapo sasa huenda ikabidi wahuni wasipate kitu.
 
Duh 🙄 !
Kila mtu afanye maombi kwa imani yake ili Mungu atufanyie wepesi kwenye maisha yetu Watanzania !
Na tuombe mvua zinyeshe vizuri kila masika !
Hakuna namna maisha ndio haya haya tu 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…