MONUSCO yaanza kukimbilia Rwanda

MONUSCO yaanza kukimbilia Rwanda

Baada ya kuzuia matumizi ya anga kwa ndege za kijeshi za DRC, badae M23 ilisema hata UN hairuhusiwi kutumia uwanja huo wa Goma.

Taarifa ziliwafikia viongozi wa Umoja wa mataifa kwenye kikao cha dharula huko New York, na kutangaza kwamba wamezingilwa na uwanja hautumiki.

Uwanja huo uliopo mpakani mwa Rwanda na Congo. UN imeiomba Rwanda kupokea wanajeshi wake na vifaa vyao, na moja kwa moja wengi wao wakaanza kuelekea Rwanda, huku wakiacha SAMIDRC, Burundi, FARDC na Wazalendo nyuma.

Taarifa zinadai mpaka sasa, Afrika kusini imepoteza tena wanajeshi wengine, huku magari yao ya kivita yakiharibiwa vibaya na M23.
Hivi hawa m23 mbona wanasumbua hivi
Na ni wakokozi duh
 
Ni kweli👍
 
Waasi wana tumia drones huku nyie mnaenda na Bus za YUTONG
 
Vita vya kijinga ndio vinakuwaje? Ufafanuzi tafadhali
Congolese wanapiga raia wake Banyamurenge na kuwaondolea haki zao za uraia, kwanini ukasaidie serikali ya kikabila inayotaka kumaliza raia wake? Vita ya kipumbavu sana and hopefully M23 watamnyoosha Tshesekedi dereva wa Uber from Brussels
 
Back
Top Bottom