Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Kapewa lini? Kalipa lini?Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Fedha za kufanyia tathmini Asset za Simba ili kujua thamani yake alitia MO.
Kipindi chote cha mchakato wa Mabadiliko ya katiba na uendeshaji wa timu fedha ametoa MO.
Mpaka Sasa Simba inaendeshwa kwa fedha za MO.
Sasa itawezekana vipi MO afanye tathmini sahihi ya Asset za Simba wakati zita mgharimu katika gharama za uwejezaji!!
MO ameikadiria klabu na kuwekeza kulingana na Asset za klabu.
Thamani ya Simba kwa wakati uo ni B 20.
Anacho faidi MO kwasasa ni fedha yake iliyo tumia kuinua thamani ya Simba.
Wakati Mo anaichukua simba ilikuwa na thamani gani?Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Kwa hiyo ndugu Ponjoroo fitna umehamishia kwa Moo sasa kwani ule mtaa wa manyasi kijani,haunazo fitna kule?Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Wapi hukoKwa hiyo ndugu Ponjoroo fitna umehamishia kwa Moo sasa kwani ule mtaa wa manyasi kijani,haunazo fitna kule?
Kwahiyo mmekubali kuuzwa kwa 20BKumbe nyie Utopolo mnajua thamani ya Ranking za CAF .....!
Hapo ulipotaja 'timu namba 5 kwa Ubora barani Afrika' umelitendea haki andiko lako.
Sasa kukujibu ni kwamba thamani ya timu huwa inaongezeka kadiri siku zinavyosonga mbele. Thamani ya miaka 10 iliyopita ya timu sio thamani ya sasa. Kipindi kile hata 100 bora ya CAF timu zetu zilikuwa hazimo..!
Hiyo si sababu, huo ni utapeli ni sawa na kumnunulia kimini mwanafunzi wa form 2 kisha umtombeeerKabla ya Mo kuwanunulia simba wachezaji , je simba ilikuwa namba tano kwenye hizo caf ranking?