Unachosema ni kweli hawa ndugu zetu wana sifa za bure tu huko maporini kwao lakini kazi ngumu ngumu hawaziwezi hata kidogo.Hawa ndugu zangu wanaweza kustahimili kuishi maisha magumu lakini kazi ngumu hawawezi, kwa hiyo kama hana shule morani anaishia kusuka au ulinzi. Wamama wa kimaasai wanafanya kazi zaidi kwa hiyo mila zimeleta mushkeli nadhani.
Ongeza na Mgogo.Nimeishi sana na manjeree hakuna kabila wavivu duniani km masai.
Wasugua kucha wengi wazaramo au watu wa Tanga..Siungi mkono kazi hiyo au tabia hiyo ila, msiwaonee wamasai tu. Mbona wanaopaka rangi miguu ya wanawake na kusugua makucha yao hao wanawake ni wavulana, tena mavulana yenye nguvu za mwili tu na bado hamuwasemi?? Mmasai anasuka nywele lakini hao wapaka rangi za miguu na kusugua kucha kutwa nzima wamewekelea miguu ya wanawake mbali mbali juu ya midude yao huku majianake mengine yakiwatekenya kwa hiyo miguu na maneno yasiyofaa. Msishambulie kabila, vijana wa dot com wameishaaaa
Linazungumziwa kabila la Wamasai, hao wapaka rangi wapo wa makabila mbalimbali.Siungi mkono kazi hiyo au tabia hiyo ila, msiwaonee wamasai tu. Mbona wanaopaka rangi miguu ya wanawake na kusugua makucha yao hao wanawake ni wavulana, tena mavulana yenye nguvu za mwili tu na bado hamuwasemi?? Mmasai anasuka nywele lakini hao wapaka rangi za miguu na kusugua kucha kutwa nzima wamewekelea miguu ya wanawake mbali mbali juu ya midude yao huku majianake mengine yakiwatekenya kwa hiyo miguu na maneno yasiyofaa. Msishambulie kabila, vijana wa dot com wameishaaaa
Umejisikia kuwataja tu amaOngeza na Mgogo.
Kimsingi sidhani kama ni wavivu, sababu wangekuwa wavivu wasingestahimili kuwa nomads hasa kny mazingira yao magumu. Ila mila na desturi zao zimewafanya wawe hivyo walivyo, wanawake ni watendaji zaidi. Na hata wanapokuwa kny maboma yao kuna rika linahusika tu na mifugo moran yeye anakuwa ameshavuka huko kwa hivyo makuzi namazoea yake yanapelekea kuja kufanya kazi nyepesi kiasi. Lakini ukumbuke kuwa hapa tunazungumzia wale ambao hawajaona darasaWasugua kucha wengi wazaramo au watu wa Tanga..
Lkn wamasai wamezidi uvivu
MMEJADILI WATU WOTE MPAKA MMEWACHOKA, SASA MMEHAMIA KWA WAMASAI.Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.
Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi kweli unakaa mjini unasubiri wada msuke nywele.Halafu eti mnajitia morani.
Kweli wamasai mmepoteza dira,kuna rafiki yangu anawaita maliasili nafikri yuko sahihi kabisa
What a pity.
We ndo kilaza kumbe, unajua kichwa kimoja wa wanasuka kwa sh ngapLeo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.
Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi kweli unakaa mjini unasubiri wada msuke nywele.Halafu eti mnajitia morani.
Kweli wamasai mmepoteza dira,kuna rafiki yangu anawaita maliasili nafikri yuko sahihi kabisa
What a pity.
We unafikiri ni swala bei hapa ama!Iko hivi morani ni shujaa na shujaa lazima uwe imara,kazi ya kwenda kupapasa vichwa vya mademu na kuwanukisha mbu zao ndio kazi gani hizo kwa mwanaume ambaye anatakiwa aende akalinde kabila zima.Haina maana kabisa ni aibu kwa wamasai.We ndo kilaza kumbe, unajua kichwa kimoja wa wanasuka kwa sh ngap