Morani mzima unasuka Nywele!Tukulu

Morani mzima unasuka Nywele!Tukulu

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.

Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi kweli unakaa mjini unasubiri wada msuke nywele.Halafu eti mnajitia morani.

Kweli wamasai mmepoteza dira,kuna rafiki yangu anawaita maliasili nafikri yuko sahihi kabisa

What a pity.
 
Hawa ndugu zangu wanaweza kustahimili kuishi maisha magumu lakini kazi ngumu hawawezi, kwa hiyo kama hana shule morani anaishia kusuka au ulinzi. Wamama wa kimaasai wanafanya kazi zaidi kwa hiyo mila zimeleta mushkeli nadhani.
 
Unachosema ni kweli hawa ndugu zetu wana sifa za bure tu huko maporini kwao lakini kazi ngumu ngumu hawaziwezi hata kidogo.

Ni ngumu kuja kumkuta Masai. anafanya vibarua vya kujenga au kuchimba misingi.
 
Nimeishi sana na manjeree hakuna kabila wavivu duniani km masai.nadhani sbb ya asili yao inarandana na waarabu ndo mana!mwarabu mvivu asikwambie mtu!wanaskiaga uvivu hata kulala
 
Siungi mkono kazi hiyo au tabia hiyo ila, msiwaonee wamasai tu. Mbona wanaopaka rangi miguu ya wanawake na kusugua makucha yao hao wanawake ni wavulana, tena mavulana yenye nguvu za mwili tu na bado hamuwasemi?? Mmasai anasuka nywele lakini hao wapaka rangi za miguu na kusugua kucha kutwa nzima wamewekelea miguu ya wanawake mbali mbali juu ya midude yao huku majianake mengine yakiwatekenya kwa hiyo miguu na maneno yasiyofaa. Msishambulie kabila, vijana wa dot com wameishaaaa
 
Mawazo mgando

Kwani kusuka sio kazi?
Anaingiza shilingi ngapi kwa siku?
Unaiona sio kazi compared to which kazi ambayo angeifanya?
Kwa elimu ipi ambayo anayo?
Open your eyes and see the opportunities we unaona ushamba mwenzako anahesabu faranga..

Think otherwise life is not what you belive is right afterall there is no universal truth..

Pambana na hali yako

Tabala
 
Siungi mkono kazi hiyo au tabia hiyo ila, msiwaonee wamasai tu. Mbona wanaopaka rangi miguu ya wanawake na kusugua makucha yao hao wanawake ni wavulana, tena mavulana yenye nguvu za mwili tu na bado hamuwasemi?? Mmasai anasuka nywele lakini hao wapaka rangi za miguu na kusugua kucha kutwa nzima wamewekelea miguu ya wanawake mbali mbali juu ya midude yao huku majianake mengine yakiwatekenya kwa hiyo miguu na maneno yasiyofaa. Msishambulie kabila, vijana wa dot com wameishaaaa
Wasugua kucha wengi wazaramo au watu wa Tanga..

Lkn wamasai wamezidi uvivu
 
Linazungumziwa kabila la Wamasai, hao wapaka rangi wapo wa makabila mbalimbali.

Point ipo kwa wamasai, kwanini hawafanyi shughuli zingine (mijini) zaidi ya kusuka na kuuza dawa na urembo?
 
Unaskia uvivu hata kuhema!erokumenyee
 
Wasugua kucha wengi wazaramo au watu wa Tanga..

Lkn wamasai wamezidi uvivu
Kimsingi sidhani kama ni wavivu, sababu wangekuwa wavivu wasingestahimili kuwa nomads hasa kny mazingira yao magumu. Ila mila na desturi zao zimewafanya wawe hivyo walivyo, wanawake ni watendaji zaidi. Na hata wanapokuwa kny maboma yao kuna rika linahusika tu na mifugo moran yeye anakuwa ameshavuka huko kwa hivyo makuzi namazoea yake yanapelekea kuja kufanya kazi nyepesi kiasi. Lakini ukumbuke kuwa hapa tunazungumzia wale ambao hawajaona darasa
 
Leo naona mnatirika tu. Atakuja Lowasa mwenyewe kuwatetea humu
 
Kuna masai alikuja kuomba kazi akaambiwa kuna kazi ya ujenzi akakubali akaambiwa badili nguo akapewa za kazi shida sasa akapelekwa kwenye karai za zege ile ya kurushiana alidaka ya kwanza ya pili akasema rafiki inataka uwa mimi? huyo akabeba fimbo na sime lake akatokomea
 
Wangekuwa wakabaji pia ungesema sio kanzi nzuri kwa Morani, wanajishughulisha ili mkono uende kinywani unawalaumu!! Wakikuomba buku ya kula utawaambia kafanyeni kazi hata ya kuchoma mahindi acheni kuombaomba!! Binadamu haishiwi na hila.
 
Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.

Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi kweli unakaa mjini unasubiri wada msuke nywele.Halafu eti mnajitia morani.

Kweli wamasai mmepoteza dira,kuna rafiki yangu anawaita maliasili nafikri yuko sahihi kabisa

What a pity.
MMEJADILI WATU WOTE MPAKA MMEWACHOKA, SASA MMEHAMIA KWA WAMASAI.
 
Yaani asuke apate elfu 50 kwa siku halafu umwambie akapige zege apewe elfu 10? Hayo maisha ya kukariri ni ya kizamani amka.
 
Fata mambo yako kila mtu aishi maisha aliyochagua mwenyewe.

Kama unaona sio kazi basi mpe kazi. Waswahili hatunaga dogo kabisa. Sasa si bora sisi wamasai tunasuka wanawake kuliko nyie mnakaa tu bila kufanya kazi alafu usiku unawakaba na kiwaibia watu waliotokwa jasho kutwa nzima.

Fata mambo yako eroo
 
Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.

Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi kweli unakaa mjini unasubiri wada msuke nywele.Halafu eti mnajitia morani.

Kweli wamasai mmepoteza dira,kuna rafiki yangu anawaita maliasili nafikri yuko sahihi kabisa

What a pity.
We ndo kilaza kumbe, unajua kichwa kimoja wa wanasuka kwa sh ngap
 
We unafikiri ni swala bei hapa ama!Iko hivi morani ni shujaa na shujaa lazima uwe imara,kazi ya kwenda kupapasa vichwa vya mademu na kuwanukisha mbu zao ndio kazi gani hizo kwa mwanaume ambaye anatakiwa aende akalinde kabila zima.Haina maana kabisa ni aibu kwa wamasai.
 
Back
Top Bottom