eheeee........sasa basi.......wewe njoo na zako hizo 100.....nami nije na zangu 327......za kwamba.....MMU ni sehemu salama......ya kupata mwenza.......tena naleta kwa kiswahili fasaha..........
Things are not happening to him
ko huyu mwenza niliempata hum nihesabu maumivu LOL
1. Fake name means fake future partner.
2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically surround you at every instant second, and dream that MMU will do a magic for you!
I will be back soon to give you the remaining reasons.
mi nimefungua nikajua nitakuta 100 reasons
and I was like will I be able to read all the 100 reasons nakutana na 2 tu
well, may be only bad things are happening to him!
usiogope weka tu, yeye kakutana na Li Tangopori huko basi anaamini jukwaaa Zima limejaa matangopori. Hajui kuwinda. Ningekuwa sijaoa mbona ningekuwa nshapata mke humu humu! Kuna mmoja nataka nizae nae mtoto....wako wenginami nilitaka niweke humu uzi wa kutafuta partner wa kufa na kuzikana halafu eti nakutana na uzi kama huu.
what a disappointment!
Atajibeba na gundu lake!
Acha fix wee umesema sababu mia halafu umeweka tusababu tuwili tu
Hapo sio kweli we Simplicity!!! wangu nimeopoa humu humu,,,,,,,,, Na mambo yanaenda vzr sana labda ww tu una bahati mbaya..
Weka picha.
Source: Tangopori
natafuta mpenzi wa kuishi nae...!!
hahahaaaaaa sijui ni mimi!!!!!!
usiogope weka tu, yeye kakutana na Li Tangopori huko basi anaamini jukwaaa Zima limejaa matangopori. Hajui kuwinda. Ningekuwa sijaoa mbona ningekuwa nshapata mke humu humu! Kuna mmoja nataka nizae nae mtoto....wako wengi
usiogope weka tu, yeye kakutana na Li Tangopori huko basi anaamini jukwaaa Zima limejaa matangopori. Hajui kuwinda. Ningekuwa sijaoa mbona ningekuwa nshapata mke humu humu! Kuna mmoja nataka nizae nae mtoto....wako wengi