There might be such a chance, lakini ni ya uwezekano wa kushinda bahati nasibu ya Mimi ni Bingwa ya airtel kwa wiki kumi mfululizo.
Ukikutana na mwanamke/mwanaume Jf kwa kwa issue tofauti na mapenzi, may be mtu aliweka uzi akasema anauza kiwanja au shamba, au simu au kwa dili lolote la kibiashara au la kimaisha, hatimaye mkaamua kukutana (with no sexual drives attached) physically kwa minajili ya kufanikisha hilo dili na sio kutaka kuanzisha uhusiano, halafu katika kufanikisha dili lenu mkawa mmezoeana na hatimaye mkaanzisha uhusiano hapo nitakubaliana na wewe.
Lakini kuanza kumtongoza mtu MMU humfahamu kwa intention tofauti kama nilivyoeleza hapo juu, ni majanga usipime! There are several good reasons:
4. MMU watu wengi wapo desperate (wengi wao wameionja joto ya jiwe kwenye mahusiano, look at their threads) na mahusiano ambayo mengi ni kwa ajili ya kungonoana, wapo wanaotafuta wenza lakini they are doing it wrongly pia, come on, MMU sio shopping mall ya wanawake au wanaume.
5. MMU ni potential target ya akina Yahya (mtu anaweza kupretend kwa muda wa kutosha kukupata, lakini lazima ulie mwisho wa siku)
6. Kuweka uzi directly unatafuta mwenza au kuonyesha hisia wazi wazi kwamba unatafuta mwenza, you must be questionable na lazima nikuingize kwenye numbers 1 and 2, unless you are kidding.
7. The BIG question is: Mtu anayetafuta mwenza MMU ambaye hata hajulikani, inakuwaje ameshindwa kutafuta kutoka kwenye makundi ya watu anayokutana nayo?
Naenda kanisani, twendeni
tinna cute Sista sister Ennie, etc.,