More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

Nyie Kaizer na Ennie mnatukana hali mnayemtukana hamumujui, I doubt your authenticity ya kuwa wake wema. Na hili ndio ninaloliongelea. Tabia ya mtu ni kama ngozi haijifichi.
 
Last edited by a moderator:
There might be such a chance, lakini ni ya uwezekano wa kushinda bahati nasibu ya Mimi ni Bingwa ya airtel kwa wiki kumi mfululizo.

Ukikutana na mwanamke/mwanaume Jf kwa kwa issue tofauti na mapenzi, may be mtu aliweka uzi akasema anauza kiwanja au shamba, au simu au kwa dili lolote la kibiashara au la kimaisha, hatimaye mkaamua kukutana (with no sexual drives attached) physically kwa minajili ya kufanikisha hilo dili na sio kutaka kuanzisha uhusiano, halafu katika kufanikisha dili lenu mkawa mmezoeana na hatimaye mkaanzisha uhusiano hapo nitakubaliana na wewe.

Lakini kuanza kumtongoza mtu MMU humfahamu kwa intention tofauti kama nilivyoeleza hapo juu, ni majanga usipime! There are several good reasons:

4. MMU watu wengi wapo desperate (wengi wao wameionja joto ya jiwe kwenye mahusiano, look at their threads) na mahusiano ambayo mengi ni kwa ajili ya kungonoana, wapo wanaotafuta wenza lakini they are doing it wrongly pia, come on, MMU sio shopping mall ya wanawake au wanaume.

5. MMU ni potential target ya akina Yahya (mtu anaweza kupretend kwa muda wa kutosha kukupata, lakini lazima ulie mwisho wa siku)

6. Kuweka uzi directly unatafuta mwenza au kuonyesha hisia wazi wazi kwamba unatafuta mwenza, you must be questionable na lazima nikuingize kwenye numbers 1 and 2, unless you are kidding.

7. The BIG question is: Mtu anayetafuta mwenza MMU ambaye hata hajulikani, inakuwaje ameshindwa kutafuta kutoka kwenye makundi ya watu anayokutana nayo?

Naenda kanisani, twendeni tinna cute Sista sister Ennie, etc.,

Nakuja.
Niwekee nafasi tukae jirani ili tuwe tumekutana nje ya MMU kwa malengo ya kusifu na kuabudu.
Ubarikiwe.
 
Nyie Kaizer na Ennie mnatukana hali mnayemtukana hamumujui, I doubt your authenticity ya kuwa wake wema. Na hili ndio ninaloliongelea. Tabia ya mtu ni kama ngozi haijifichi.

Una safari ndefu!!! Ukivurugwa umetukanwa? Sihitaji kukujua kujua kuwa umevurugwa best,bandiko lako tu says it all!!!
Haya mtake radhi Kaizer kwa kumhusisha na hapo penye red!!!
 
Last edited by a moderator:
Simplicity ujue mie bado nasubiria sababu zifike 100.
Afu mpaka sasa sijajua tatizo lako ni lipi?
amu unaona sredi imeletwa huku love connect mi nina aleji nako ujue...huyu bado unamsubiria?
 
Last edited by a moderator:
Internet wives? Give me a cup of coffee please.
 
Naamini inawezekana kukutana na mtu hapa jukwaani na mkawa na Kaisha. Tatizo lako Simplicity ulitaka uliekutana nae awe na Vogue, Benzi au Verossa kama Mpwa wangu Mentor alivyosema. Jamani watu WA JF tuliowengi tuna maisha ya kawaida sana sio kweli kuwa kila mtu Yuko na goodlife kivileeee
 
Last edited by a moderator:
Nyie Kaizer na Ennie mnatukana hali mnayemtukana hamumujui, I doubt your authenticity ya kuwa wake wema. Na hili ndio ninaloliongelea. Tabia ya mtu ni kama ngozi haijifichi.

haaaaa hapo nademand an immediate and unconditional apology kwa wrong referencing ya sex apo kwanza
 
Hii iwe comment yako ya mwisho huku.
haaaaa hapo nademand an immediate and unconditional apology kwa wrong referencing ya sex apo kwanza

watoto wanakosa adabu hasa huyu Simplicity
 
Last edited by a moderator:
humu wanatongozana vidume kwa kividume we tazama nikname za humu hazioneshi kidume yupi na kisister kipi
 
Leo umeamka na busara za kimaandiko best!!

Khaa! Nilijua hii thired imekuwa closed!
Kumbe wametupelekea jukwaa la kutongozana! Lol!
Thijui bado anaitaka hii mada Simplicity!!!
...
Ennie jamani! Kumbe thku dhote hidho snaga busara! Lol!
 
Khaa! Nilijua hii thired imekuwa closed!
Kumbe wametupelekea jukwaa la kutongozana! Lol!
Thijui bado anaitaka hii mada Simplicity!!!
...
Ennie jamani! Kumbe thku dhote hidho snaga busara! Lol!

Uko nazo best ila leo zimeongezeka
 
charminglady nilimpataga chitchat ila ni humhumu jf

Namshangaa sana huyu Simplicity, hivi kwani kuna utofauti gani wa kukutana JF na sehemu zingine. Ni kama mtu anayevutiwa na mwingine akiwa katika sehemu yoyote kisha wakaanza kufahamiana taratibu mwisho wakaoana!!!!

Mtoa mada atabaki kufahamu kuwa hakuna, hebu kam zis wei tukapate breakfast my hezbend @C6.....

images
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom